Mjinga mkubwa!ni mfano mzuri kuwa mbowe alikutwa na makosa vipi yupo nje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mjinga mkubwa!ni mfano mzuri kuwa mbowe alikutwa na makosa vipi yupo nje
Huyo alipaswa auawe kabisa, kama panya rodi wanauliwa huyo jambazi wa silaha za moto kwa nini aachwe?Sabaya ananyanyasika mno.
Pole Sana mjane wa SabayaDpp Kweka anatumiwa na matajiri wa kichaga kumchafua Sabaya wakati hana ushahidi wowote.
Mbowe alikutwa na kesi ya kujibu kutokana na ugaidi wake
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hii nchi vichaa ni wengiUsije ukakosa kujitokeza kukiwa na tangazo la kuwataka wenye matatizo ya akili kupewa matibabu bure.
Kukosa kuelewa hata kinachojadiliwa kinaashiria upungufu mkubwa katika utendaji kazi wa akili.
Si ulikua unavunja nae maduka kwa mromboo nenda kamsaidie sasa acha kulialia hapa JFSabaya ananyanyasika mno.
naamini kutumia akili za kichwani ni Bora kuliko kutumia makalioDpp Kweka anatumiwa na matajiri wa kichaga kumchafua Sabaya wakati hana ushahidi wowote.
Mbowe alikutwa na kesi ya kujibu kutokana na ugaidi wake
Mbowe kaingiaje tena?
Nyoko weweDpp Kweka anatumiwa na matajiri wa kichaga kumchafua Sabaya wakati hana ushahidi wowote.
Mbowe alikutwa na kesi ya kujibu kutokana na ugaidi wake
Wallah umeokoka JoeMbowe kaingiaje tena?
Mke wa gaidi pole sanaNyoko wewe
Mbowe sio gaidi.Dpp Kweka anatumiwa na matajiri wa kichaga kumchafua Sabaya wakati hana ushahidi wowote.
Mbowe alikutwa na kesi ya kujibu kutokana na ugaidi wake
Kukutwa na kesi ya kujibu maana yake amekutwa na makosa? Hahaha...ni mfano mzuri kuwa mbowe alikutwa na makosa vipi yupo nje
Sawa mke wa Gaidi SabayaMke wa gaidi pole sana
Angekuwa na makosa asingeachiwa huru kabla ya hukumu hebu tumia akili wewe mtoto wa kharamu!ni mfano mzuri kuwa mbowe alikutwa na makosa vipi yupo nje
Mahakama ilimkuta na kesi ya kujibuMbowe sio gaidi.
Hata Kingai anajua.
Kama kuna uonevu na kisasi ni kesi ya Sabaya. Wanaojidai kutetea haki za binadamu ndiyo wanazivunj. Huyu mkuu wa mashitaka hana aibu kuitumia offisi ya mashitaka kama mali yake. Ninayemulaumu ni Rais Samia kukaa kimya wakati watu aliyewapa madaraka wakionea Watanzania wenzao. Gaidi Mbowe alishitakiwa Kwa kutaka kuuwa viongozi wa serikali, Sabaya akiwa mmojawapo. Leo Mbowe yuko huru Kwa kutetewa na wazungu. Sabaya pamoja na serikali kukosa ushahidi inaendelea kumuweka Sabaya gerezani bila ya hatia Kwa miaka. Kisha, wanataka kumulazimisha akubali mashitataka ili wampe fine. Ni nani atakataa baada ya mateso hayo yote? Haki iko wapi? Kisha Rais anawaambia mawakili wasimamie haki huku yeye kama Rais haki invunjwa mbele yake bila ya woga!. Ni fedha za Mbowe na chuki Kwa Hayati Magufuli ndiyo vinavyomutesa huyu kijana? Ikiwa wapigaji wakubwa walioitia hasara Tanzania Kwa mabilioni Rugemalila na Sethi Wote wameachiliwa. Mukwepa kodi Mbowe karudishiwa pesa zake, Je Tanzania kuna sheria mbili? Za matajiri na masikini? Watamuweka Sabaya jela mpaka lini?Aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya leo Jumatatu Septemba 26 amefikishwa tena katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi akiwa peke yake.
Sabaya anakabiliwa kesi namba mbili ya uhujumu uchumi ya mwaka 2022, huku wenzake alioshitakiwa nao wakiwa wameachiliwa huru baada ya kukiri kosa na kuachiliwa huru Septemba 6 mwaka huu.
Washirika hao ni pamoja na Sylivester Nyegu, John Aweyo, Nathan Msuya na Antero Assey aliokuwa.
Makosa waliyokiri ni pamoja na kujitwalia madaraka isivyo halali na kwenda kufanya upekuzi nyumbani kwa Alex Swai na kula njama, kumnyima na kukandamiza haki yake.
Mahakama hiyo iliwatia hatiani na kutoa amri ya kulipa kila mmoja faini ya Sh50,000 na fidia ya Sh1milioni kwa mlalamikaji Alex Swai.
Mwananchi