Sabaya tulia Mungu atatenda muujiza maana huwezi kupambana na ufisadi chini ya mfumo wa kifisadi

Lengai Ole Sabaya apambane na ufisadi? Au hili neno lina maana tofauti kwako?
 
Atatendewa huo muujiza na mungu yupi? Yule mungu mtu wake aliyefariki au huyu Mungu ninaye mwabudu mimi?

Yaani mtu mpumbavu na kichaa kama huyo, eti mnalazimisha aonekane ni shujaa!
 
Hili jamaa ni jambazi na shetani kabisa, ingekuwa ni haki huyu alitakiwa kuchomwa moto hadharani.
 
Watetezi wapo wengi sana leo nmepitia thread kama tatu same content uyo mtu wenu asafishiki katu
 
Basi tuutoe huo mfumo wa kifisadi chini ya CCM au NAKOSEA?
 
Hii nchi ina mchanganyiko wa watu wa aina nyingi sana. Safari ndefu sana tunayo kama nchi.
 
Huyu Musiba kazi anayo.
 
Kila Mtu angeheshimu Katiba Sheria na Haki za Binadamu tusingefikia huku ila Wahuni waliamua kuvuruga kila kitu

Asante Mama Samia
 
Pole sana ndugu ila inaonekana una tafsiri tofauti kabisa kwenye baadhi ya mambo,moja wapo ikiwa mapambano ya ufisadi!!
 
We ni mjinga na tena mpumbavu.
Mbona hakwenda kushtaki mwenye weruweru hotel aliposema alienda kuomba rushwa na kapokea 10m.
Punguani mkubwa
 
Nguvu ya mitandao inamwin mama
 
Huyo Taga huwa anaugonjwa wa kupenda kuona Watanzania wakiteswa na kuuwawa sijui kautoa wapi?
fUATILIA asili na makuzi yake utapata jibu.
-waliodekezwa huwa wachoyo, wabinafsi
-waliokulia kwenye uhaba wa chakula huongozwa na njaa kwenye maamuzi na matendo yao
-waliokosa upendo wa wazazi/familia huwa makatili, sadist
 
Mfumo wa ufisadi, ulaji rushwa, uhujumu uchumi, ufanyaji magendo, na matumizi mabaya ya madaraka kwa viongozi wa umma ulianza kujikita mizizi serikalini na kwenye Chama cha Mapinduzi kuanzia miaka ya 1980 mara baada ya kumalizika kwa vita ya Kagera.
Na yote haya ameyafanya Sabaya, badala ya kupambana nayo. Tupo na Mama!
 
Nenda Huko acha kutetea majambazi
 
Wilaya ya HAI hasa TARAKEA Kuna mambo mengi ya ajabu na hovyo kuhusu MAGENDO.....

Kuna msemo usemao "when you fight corruption, corruption fights back".

Lakini juu ya yote haya KILA MTANZANIA ana dhima ya KUFUATA SHERIA NA TARATIBU hata Kama anapambana na UOVU NA RUSHWA !!!!

Shukran!!!
 
Mungu yupi mkuu? Kama ni huyu wa Watanzania ameisha tenda muujiza siku nyingi sana. Au unadhani muujiza ni kwenu ninyi wachache na udhalimu wenu kuliko sisi wengi tuliodhulumiwa na ninyi?
 
Tulia mataga
 
"Kama kifaa pekee ulichonacho ni nyundo, matatizo yako yote utayaona kama misumari"
ABRAHAM MASLOW-1966.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…