Sabaya tulia Mungu atatenda muujiza maana huwezi kupambana na ufisadi chini ya mfumo wa kifisadi

Cyprian Musiba mlichelewa kutumia wakati wenu vizuri baada ya kuaminiwa na Mwendazake. Mungewekeza kwenye mahusiano mazuri leo wewe na akina e Sabaya msingekuwa mnahangaika kujisafisha.
 
Umbwaaaa

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Atatendewa huo muujiza na mungu yupi? Yule mungu mtu wake aliyefariki au huyu Mungu ninaye mwabudu mimi?

Yaani mtu mpumbavu na kichaa kama huyo, eti mnalazimisha aonekane ni shujaa!
Hawa waliaminishwa Mwendazake kuwa Ni mungu. Wajinga sana
 
Kwahyo serikali ilitakiwa kumpeleka sabaya nae Sweden ili akasome ajue namna zuri yakupambana na ufisadi au uongozi bora,sabaya alikua hapambani na ufisadi alikua JAMBAZi aliyejificha na uongozi

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Mtoa post ndiyo miongoni mwa wanufaika wa UKATILI maana anatetea wizi,dhulma,utapeli, maana ameona watu watu wanavyolalamika halafu yeye anakuja kutetea,huyu ni kama CLOUDS tu
 
huko kupamba na mafisadi ndio pamoja na kukata watu masikio,kuuwa,kuvunja watu mikono na miguu,kugonga watu misumari miguuni na mikononi?????

kama ni hivyo basi ufisadi ni bora mara milioni kuliko uzalendo
Uzalendo tunaongelea unahusu wafuatao basi neno uzalendo lina maana tofauti;Makonda,Sabaya,Jery Muro,Chalamila,Hapi ,Bakanwa na wengineo waliomo kwenye hilo kundi.Kusema kweli mama anayo kazi kubwa saaana ya kupambana na hawa vibaka wa madaraka
 
Huyo Taga huwa anaugonjwa wa kupenda kuona Watanzania wakiteswa na kuuwawa sijui kautoa wapi?
Siyo Sabaya mwenyewe kweli. NImeona hata jana usiku wa manane kaanzisha thread nyingine. Anaweweseka huyo. Sidhani kama alipata usingizi jana.
 
Upumbavu wa awamu ya tano mama mcha Mungu hautaki.

Sasa hivyo tulieni hivyo hivyo mama anakuja na sindano zaidi za makalio.
Sindano zenyewe ni butu na lizima ziwangie hata kwa kupaka oil chafu
 
Si arudi clouds akalalamike ?kwa nini anajificha humu?
 
Mtaongea lugha zote lakini ukweli utabaki kuwa Sabaya ni jambazi aliyelindwa na jambazi lililokubuhu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…