Sabaya tulia Mungu atatenda muujiza maana huwezi kupambana na ufisadi chini ya mfumo wa kifisadi

Siyo Sabaya mwenyewe kweli. NImeona hata jana usiku wa manane kaanzisha thread nyingine. Anaweweseka huyo. Sidhani kama alipata usingizi jana.
Inawezekana akawa ndiye mwenyewe sijawahi kuona Mtanzania anayependa kuona umwagaji wa Damu na kufurahia mateso dhidi ya Wanadamu wenzake
 
Sindano zenyewe ni butu na lizima ziwangie hata kwa kupaka oil chafu

Kweli kutesa ni kwa zamu. Raha tuliyo nayo sasa, pana watu wa awamu ile walikuwa nayo kipindi kile?!

Pia kuwa maumivu tuliyokuwa nayo kule sasa hivi yamewafika na wao akiwamo kinara Ole Lengai Sabaya?!

Ninakazia, "kweli kutesa ni kwa zamu!"
 
Chai chai chai
 
Mkuu shusha nondo usichoke nakuelewa
 
Wewe Sabaya tulia.

Usiendelee kuwatia hasira watanzania kwa propaganda zako za kishamba.

Huu ni wakati wa kulipa uovu uliowafanyia watanzania.

HAKI HUINUA TAIFA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…