Sabaya under probe for seven other claims

Huyu jamaa alipoona kawamaliza kuwakomesha upinzani akahamia kwa watu ndani ya mfumo,akawavamia wafanyabiashara hadi baadhi ya polisi aliwafanyizia😂😂😂
Sahvi mambo yamemrudia

Ila ushamba ni mzigo

Ova
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kolabo ya pimbi 2 product italkuwa new model
 
Huko mbeya hakukuwa na dhuluma zozote za ndg chalambe?,kama zipo karibuni jukwaani mzianike ili vyombo vya haki vianze kulifanyia kazi...!
 
Huko mbeya hakukuwa na dhuluma zozote za ndg chalambe?,kama zipo karibuni jukwaani mzianike ili vyombo vya haki vianze kulifanyia kazi...!
Yule ni kutochuja tu maneno mdomoni, "mlipukaji" a. k. a "petrol"

Kwenye mambo ya jinai au ya uhalifu mwingine, hakuwa na shida.
 
Huko mbeya hakukuwa na dhuluma zozote za ndg chalambe?,kama zipo karibuni jukwaani mzianike ili vyombo vya haki vianze kulifanyia kazi...!
Kosa lake ni kuruhusu task force za Jiwe kuwanyanyasa akina Sugu na viongozi waandamizi wa Chadema.
 
Kamuulize Mrisho Gambo mtu wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…