Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 3,626
- 3,869
Ujinga chanzo chake ni nyie na Magufuli wenu,Mlimjaza ujinga akajiona ni Malaika.Ujinga mtupu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujinga chanzo chake ni nyie na Magufuli wenu,Mlimjaza ujinga akajiona ni Malaika.Ujinga mtupu
Zaa hiyo mimba akili zitakurudiaUjinga chanzo chake ni nyie na Magufuli wenu,Mlimjaza ujinga akajiona ni Malaika.
Mzee ulienda kisongo kumfanyia visitingZaa hiyo mimba akili zitakurudia
Mjinga ni WeweUjinga mtupu
Wamo bado japo wanakata pumzi polepoleHivi wale vichaa waliojaribu kumtetea huyu Sabaya bado wapo?
Source: The CitizenGood news! But why using Queen's language?
Kunyweni Juice sasa. Damu ya Watanzania inatosha. Mmewatesa sana nyie Wauaji...Ujinga mtupu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kolabo ya pimbi 2 product italkuwa new modelKumbe Etwege na Elitwege ni mtu na mkewe! Yaani hii dunia haiishi vituko. Hata hivyo hiyo ni habari njema, akinaswa moja ukoo wote wote kwisha habari yake!
Kweli ndege wafananao huruka pamoja, sijui watazaa/wamezaa watoto wa aina gani hao. Huu utakuwa ukoo wa laana na unaweza kuweka rekodi Guinness Book!
"lichawa la hayati" mmechanga kiasi gani mpaka sasa maana mpaka juzi mlifikisha 270,000/-Ujinga mtupu
Na bado jamaa yule alikuaga anasema tumuombeeeee.
Yule ni kutochuja tu maneno mdomoni, "mlipukaji" a. k. a "petrol"Huko mbeya hakukuwa na dhuluma zozote za ndg chalambe?,kama zipo karibuni jukwaani mzianike ili vyombo vya haki vianze kulifanyia kazi...!
wako wanapotea mmoja mmoja.Hivi wale vichaa waliojaribu kumtetea huyu Sabaya bado wapo?
Kosa lake ni kuruhusu task force za Jiwe kuwanyanyasa akina Sugu na viongozi waandamizi wa Chadema.Huko mbeya hakukuwa na dhuluma zozote za ndg chalambe?,kama zipo karibuni jukwaani mzianike ili vyombo vya haki vianze kulifanyia kazi...!
Kamuulize Mrisho Gambo mtu wenuswali moja ninalo jiuliza,
kwa nini sasa watu ndio wajitokeze kumlalamikia? kwani wakati huo TAKUKURU haikuwepo?
aise haya maajabu ya Tanzania!!!
yaani hapo sasa vyonbo vyetu vinakaribisha majungu na fitina ndicho kitakacho endelee, na kwa mwendo huuu kila kiongozi lazima ataumia.
Ila ushauri wangu kwa Takukuru isikubali kupelekwa na maneno maneno ya majungu, ifanye kazi kwa weledi, kamwe isiendekeze maneno ya chuki na fitina, Majungu tupa kuleeeee!!! msipotezewe muda na rasilimali zenu kwa mambo ya kuokoteza na visasi.
Kamsalimie jamaa yako. Nasikia mimba tayari imeishaingiaUjinga mtupu
Sky, hivi wewe ni wa upande gani ?, Adam au Eva ?Because the article is for those who know the language and not for me and you.