Sabaya under probe for seven other claims

Sabaya under probe for seven other claims

Huyu jamaa alipoona kawamaliza kuwakomesha upinzani akahamia kwa watu ndani ya mfumo,akawavamia wafanyabiashara hadi baadhi ya polisi aliwafanyizia😂😂😂
Sahvi mambo yamemrudia

Ila ushamba ni mzigo

Ova
 
Kumbe Etwege na Elitwege ni mtu na mkewe! Yaani hii dunia haiishi vituko. Hata hivyo hiyo ni habari njema, akinaswa moja ukoo wote wote kwisha habari yake!

Kweli ndege wafananao huruka pamoja, sijui watazaa/wamezaa watoto wa aina gani hao. Huu utakuwa ukoo wa laana na unaweza kuweka rekodi Guinness Book!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kolabo ya pimbi 2 product italkuwa new model
 
Huko mbeya hakukuwa na dhuluma zozote za ndg chalambe?,kama zipo karibuni jukwaani mzianike ili vyombo vya haki vianze kulifanyia kazi...!
 
Huko mbeya hakukuwa na dhuluma zozote za ndg chalambe?,kama zipo karibuni jukwaani mzianike ili vyombo vya haki vianze kulifanyia kazi...!
Yule ni kutochuja tu maneno mdomoni, "mlipukaji" a. k. a "petrol"

Kwenye mambo ya jinai au ya uhalifu mwingine, hakuwa na shida.
 
Huko mbeya hakukuwa na dhuluma zozote za ndg chalambe?,kama zipo karibuni jukwaani mzianike ili vyombo vya haki vianze kulifanyia kazi...!
Kosa lake ni kuruhusu task force za Jiwe kuwanyanyasa akina Sugu na viongozi waandamizi wa Chadema.
 
swali moja ninalo jiuliza,
kwa nini sasa watu ndio wajitokeze kumlalamikia? kwani wakati huo TAKUKURU haikuwepo?
aise haya maajabu ya Tanzania!!!
yaani hapo sasa vyonbo vyetu vinakaribisha majungu na fitina ndicho kitakacho endelee, na kwa mwendo huuu kila kiongozi lazima ataumia.
Ila ushauri wangu kwa Takukuru isikubali kupelekwa na maneno maneno ya majungu, ifanye kazi kwa weledi, kamwe isiendekeze maneno ya chuki na fitina, Majungu tupa kuleeeee!!! msipotezewe muda na rasilimali zenu kwa mambo ya kuokoteza na visasi.
Kamuulize Mrisho Gambo mtu wenu
 
Back
Top Bottom