Sabaya under probe for seven other claims

Sabaya under probe for seven other claims

Wamemchukuwa Juma Raibu ambaye ni meya wa Moshi. Yule ambaye aliwavua madiwani barakoa. Inasemekana katajwa na Sabaya. Alikuwa miongoni mwa genge hilo la unyang’anyi. Jamaa wana pesa nyingi tu walikozipata ndo tunajuwa sasa.
Wamemchukua kumpeleka wapi!?
 
Wamemchukuwa Juma Raibu ambaye ni meya wa Moshi. Yule ambaye aliwavua madiwani barakoa. Inasemekana katajwa na Sabaya. Alikuwa miongoni mwa genge hilo la unyang’anyi. Jamaa wana pesa nyingi tu walikozipata ndo tunajuwa sasa.
Mkuu mimi tangu ile scandal yake ya kuvua watu barakoa nilijua kabisa huyu ni mpigaji na kuna kitu anaficha. Kipindi cha Magufuli ni mmoja wa watu waliokuwa wamejitoa ufahamu kabisa ili Magufuli ampende na yeye aweze kupiga zaidi. Jamaa wa hovyo kabisa huyu.
 
tafasiri ya mada kwa kiswahili.

Sabaya kuchunguzwa kwa madai mengine saba
Mkuu wa zamani wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya Ijumaa atafika kortini kwa mara ya pili kujibu mashtaka sita yanayomkabili...
zile za kubaka wake za watu zimo au zenyewe bado.....
 
Wanakomaa na Sabaya, wanaachia mashehe wa Uamsho,

Ngoja tuendelee kufurahishana.
 
swali moja ninalo jiuliza,
kwa nini sasa watu ndio wajitokeze kumlalamikia? kwani wakati huo TAKUKURU haikuwepo?
aise haya maajabu ya Tanzania!!!
yaani hapo sasa vyonbo vyetu vinakaribisha majungu na fitina ndicho kitakacho endelee, na kwa mwendo huuu kila kiongozi lazima ataumia.
Ila ushauri wangu kwa Takukuru isikubali kupelekwa na maneno maneno ya majungu, ifanye kazi kwa weledi, kamwe isiendekeze maneno ya chuki na fitina, Majungu tupa kuleeeee!!! msipotezewe muda na rasilimali zenu kwa mambo ya kuokoteza na visasi.
Jiwe alikuwa ni Polisi, TAKUKURU, TISS, Mahakama, Waziri Mkuu, Makamu wa Rais na kila mamlaka unayojua wewe! Yeyote aliyeleta chokochoko kwa wanawe pendwa cha moto alikiona
 
swali moja ninalo jiuliza,
kwa nini sasa watu ndio wajitokeze kumlalamikia? kwani wakati huo TAKUKURU haikuwepo?..
Hivi wewe ulikuwepo kipindi cha miaka mitano (5) ya mwendazake? Huyo Sabaya nani angemgusa? Umefuatilia vizuri mambo ya Sabaya na kuona ni jinsi gani ilikua ngumu kumgusa kipindi cha mwendazake?

TAKUKURU ya mwendazake ingeanzia wapi kumgusa Sabaya? Nadhani hujasoma au kusikia taarifa za Sabaya tangu zile za Cathbert Swai wa Asante Tours ambazo ni kipindi hicho cha Mwendazake.

Tulia usome kimya kimya kuliko kujivua nguo kiasi hiki.
 
Back
Top Bottom