Full Blood Picture
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 2,223
- 3,961
Mmepania hatari sana huyu jamaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Boss mpya wa TAKUKURU hakuweposwali moja ninalo jiuliza,
kwa nini sasa watu ndio wajitokeze kumlalamikia? kwani wakati huo TAKUKURU haikuwepo?...
Wamemchukua kumpeleka wapi!?Wamemchukuwa Juma Raibu ambaye ni meya wa Moshi. Yule ambaye aliwavua madiwani barakoa. Inasemekana katajwa na Sabaya. Alikuwa miongoni mwa genge hilo la unyang’anyi. Jamaa wana pesa nyingi tu walikozipata ndo tunajuwa sasa.
Wamempania kweli...Mmepania hatari sana huyu jamaa.
Mkuu mimi tangu ile scandal yake ya kuvua watu barakoa nilijua kabisa huyu ni mpigaji na kuna kitu anaficha. Kipindi cha Magufuli ni mmoja wa watu waliokuwa wamejitoa ufahamu kabisa ili Magufuli ampende na yeye aweze kupiga zaidi. Jamaa wa hovyo kabisa huyu.Wamemchukuwa Juma Raibu ambaye ni meya wa Moshi. Yule ambaye aliwavua madiwani barakoa. Inasemekana katajwa na Sabaya. Alikuwa miongoni mwa genge hilo la unyang’anyi. Jamaa wana pesa nyingi tu walikozipata ndo tunajuwa sasa.
The Citizen is always in Queen's language. If you prefer Kiswahili, go to Mwananchi. They're all from the same parent.Good news! But why using Queen's language?
Endelea kuota.namwona makonda akiwa anaweka maji nywele... aisee Dar italipuka kwa shangwe mtoto wa mtukufu akipanda ngazi kuelekea kwa pirato.
Kunywa maji mengi sana yatasaidia kupunguza stress.Ujinga mtupu
zile za kubaka wake za watu zimo au zenyewe bado.....tafasiri ya mada kwa kiswahili.
Sabaya kuchunguzwa kwa madai mengine saba
Mkuu wa zamani wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya Ijumaa atafika kortini kwa mara ya pili kujibu mashtaka sita yanayomkabili...
ha ha ha - atapanda tu damu ya mtu haijawahi kumwacha mtu salama.Endelea kuota.
Jiwe alikuwa ni Polisi, TAKUKURU, TISS, Mahakama, Waziri Mkuu, Makamu wa Rais na kila mamlaka unayojua wewe! Yeyote aliyeleta chokochoko kwa wanawe pendwa cha moto alikionaswali moja ninalo jiuliza,
kwa nini sasa watu ndio wajitokeze kumlalamikia? kwani wakati huo TAKUKURU haikuwepo?
aise haya maajabu ya Tanzania!!!
yaani hapo sasa vyonbo vyetu vinakaribisha majungu na fitina ndicho kitakacho endelee, na kwa mwendo huuu kila kiongozi lazima ataumia.
Ila ushauri wangu kwa Takukuru isikubali kupelekwa na maneno maneno ya majungu, ifanye kazi kwa weledi, kamwe isiendekeze maneno ya chuki na fitina, Majungu tupa kuleeeee!!! msipotezewe muda na rasilimali zenu kwa mambo ya kuokoteza na visasi.
Na mumewe Etwege
Kama wanataka ushahidi zaidi wa mali zake nipo. Kuna sehemu kanunua hekari 5 @ 25-30M.Tuliaambia humu.... huyu Sabaya atakuwa na wakati mgumu sana...
Kwanza jinsi alivyochanganyikiwa na hii issue ya Sabaya uongeze na lugha yenyewe haipandi, hata asome mara 10, hawezi kuelewa.Kingereza kimekupiga chenga intaprinyuwaa mkubwa wewe.
Peleka taarifa TAKUKURU mkuu.... tuponye nchiKama wanataka ushahidi zaidi wa mali zake nipo. Kuna sehemu kanunua hekari 5 @ 25-30M.
Is a direct quote from The Citizen Newspaper which uses English Language...Good news! But why using Queen's language?
Hivi wewe ulikuwepo kipindi cha miaka mitano (5) ya mwendazake? Huyo Sabaya nani angemgusa? Umefuatilia vizuri mambo ya Sabaya na kuona ni jinsi gani ilikua ngumu kumgusa kipindi cha mwendazake?swali moja ninalo jiuliza,
kwa nini sasa watu ndio wajitokeze kumlalamikia? kwani wakati huo TAKUKURU haikuwepo?..