Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Mama ni Rais ni kiongozi wa taasisi ya Urais. Anajua mengi kuliko wengi wetu humu ndani.The Blair Institute has been tasked for a specific strategic assignment hivyo siyo permanent engagement people!!!
DuuuuhNimefananisha tukio, kuwa na akili basi. Wewe una hadhi gani ikiwa 2001 tu ulikuwa bado unalamba kamasi?
Shule nitakupa, tena bure kabisa
MAMA NI HOVYO HOVYO KBS ....tunaoelewa ni wachache Sana .......Huyu mama ni Raisi hovyoooooo kuwahi kutokea barani Africa.
Tony blair kama mtetezi bora wa haki za mashoga kwa miaka 30 na tuzo akapewa leo kateuliwa kama mshauri wa Samia kuhusu masuala ya biashara na CoronaShirika la habari la South Africa walikuwa na mjadala kuhusu Mama Samia kumteua Tony Blair kuwa mshauri wake.
Hoja ya wachambuzi haikuwa kwa nini Tony Blair Bali ilikuwa credibility ya Tony Blair.
Wanasema Tony Blair hana credibility, hivyo kumteua kuwa mshauri ni kosa na wanashangaa imekuwaje Tanzania nchi iliyopigania ukombozi kufanya kitu kama hicho.
Mimi binafsi kwenye hili sijui hata nisimamie wapi maana sijui pa kuanzia, ngoja tuendelee kusubiri wajuvi wakilichambua kwa hoja.
View attachment 1987100
Wachambuzi wanasema lobbying ya kusafisha taswira ya nchi (hatuelezwi taswira ya nchi imechafukaje na nani kaichafua) muhimu zaidi kuliko credibility ya anayesafisha.wakilichambua kwa hoja
Elimu........?[emoji16][emoji16] Eti kwny Pandora yumo kaficha pesa zake za kula rushwa?Mlipoambiwa elimu elimu elimu mlibisha.Jifunze tofauti Kwanza Kati ya Tax Avoidance vs Tax Evasion.
hao manguli wa siasa wapumbavu wameisaidia nn afrika mpaka sasa?Hii mada niliiona FB inajadiliwa na manguli wa siasa yaani ni aibu wanatukana kiouma.
We umeisaidia nini hata familia yako?hao manguli wa siasa wapumbavu wameisaidia nn africa mpaka sasa?
This shows how empty headed you are such that you can't even tell the difference between tax evasion and tax avoidance!!! Sucha an economist pretender!!Huna unalojua wewe dada, u just need to find a man with a 30cm pen.