SABC washangaa Rais Samia kumteua Tony Blair kuwa mshauri wake

SABC washangaa Rais Samia kumteua Tony Blair kuwa mshauri wake

Hapo amechemsha, Kamteua war criminal kuwa mshauri wake
 
Mama huwa anajiona mjanja sana wakati uelewa wake ni kawaida sana, hili alikurupuka.
 
Huyu mama ni Raisi hovyoooooo kuwahi kutokea barani Africa.
MAMA NI HOVYO HOVYO KBS ....tunaoelewa ni wachache Sana .......
JamiiForums1228925394.jpg
 
Tony blair kama mtetezi bora wa haki za mashoga kwa miaka 30 na tuzo akapewa leo kateuliwa kama mshauri wa Samia kuhusu masuala ya biashara na Corona

Huyu jamaa ni tapeli la kimataifa....Tafuteni nyuzi za tony blair mzisearch kwenye tittle hapa Jf ndo mtajua nachozungumza ingieni google

Huyu kila kiongozi wa Africa aliyelegalega lazima aende na share kwenye makampuni ya solar na Chanjo ni mfanyabiashara nzuri tu

Tony Blair named as one of top gay icons of past 30 years

Tony Blair has been recognised as one of the top gay icons of the past three decades, along with figures such as Boy George, Sir Ian McKellen and Barbra Streisand.

He has been given the accolade by Gay Times to mark its 30th anniversary.

Blair’s period as PM saw the lowering of the gay age of consent, bringing it into line with that for straight couples, as well as the introduction of civil partnerships

Shirika la habari la South Africa walikuwa na mjadala kuhusu Mama Samia kumteua Tony Blair kuwa mshauri wake.

Hoja ya wachambuzi haikuwa kwa nini Tony Blair Bali ilikuwa credibility ya Tony Blair.

Wanasema Tony Blair hana credibility, hivyo kumteua kuwa mshauri ni kosa na wanashangaa imekuwaje Tanzania nchi iliyopigania ukombozi kufanya kitu kama hicho.

Mimi binafsi kwenye hili sijui hata nisimamie wapi maana sijui pa kuanzia, ngoja tuendelee kusubiri wajuvi wakilichambua kwa hoja.

View attachment 1987100
Tony blair kama mtetezi bora wa haki za mashoga kwa miaka 30 na tuzo akapewa leo kateuliwa kama mshauri wa Samia kuhusu masuala ya biashara na Corona

Tony Blair named as one of top gay icons of past 30 years

Tony Blair has been recognised as one of the top gay icons of the past three decades, along with figures such as Boy George, Sir Ian McKellen and Barbra Streisand.

He has been given the accolade by Gay Times to mark its 30th anniversary.

Blair’s period as PM saw the lowering of the gay age of consent, bringing it into line with that for straight couples, as well as the introduction of civil partnerships

wakilichambua kwa hoja
Wachambuzi wanasema lobbying ya kusafisha taswira ya nchi (hatuelezwi taswira ya nchi imechafukaje na nani kaichafua) muhimu zaidi kuliko credibility ya anayesafisha.

Ndugu Chige ana ufafanuzi mzuri juu ya hili.
 
Polepole nae majuzi kasema ili kuwa hata kama hamna tamko la Serikali kuthibitisha kama Tonny ni mshauri wetu lakini hatufai.
 
Huna unalojua wewe dada, u just need to find a man with a 30cm pen.
This shows how empty headed you are such that you can't even tell the difference between tax evasion and tax avoidance!!! Sucha an economist pretender!!
 
Fedheha kubwa kwa taifa, hakuna muafrika anaweza kuwa adviser wake?
 
Back
Top Bottom