Unilever si kampuni ya Kenya mkuu..ni kampuni kubwa sana Duniani.Kweli kabisa Sabuni ya jamaa,mafuta ya nazi ya minara,colgate,omo,ariel,blue band yaani bidhaa za uniliver hazina mshindani tanzania.Kuna masabuni ya unga ya MO ukifulia mikono lazima itoke vipele
Wako Nigeria, South Africa, Ghana hata Ireland ambako ndiyo headquartersUnilever si kampuni ya Kenya mkuu..ni kampuni kubwa sana Duniani.
Usichanganye madesa Mkuu, hilo la soseji za SA ni ishu nyingine, tena very sensitive.Duh ukilitimba
Naskia adi soseji nazo watawala hawazitaki za SA
Nchi hii ovyo sana
Shida ni siasa....Changamoto ni nyingi hasa kwa wakati/awamu hii,..lakini si kweli kwamba hatuna wataalam wazuri wa kutengeneza bidhaa ndani ya nchi au uwezo wa kuwa na viwanda bora vya kitaifa na kimataifa,...ukiritimba mwingi sisi badala ya kupiga hatua zaidi ya kuendelea mbele ajabu tunapiga hatua kurudi 0.
fomula ya sabuni inafanana..tofauti huwa ni marashi na aina ya mafuta yanayotumika au concentration ya chemicals(caustic)Mo amekopi na kupest inaitwa Taifa kama sijakosea
So hizo bidhaa mnazotumi zinazalishwa wapi??Unilever si kampuni ya Kenya mkuu..ni kampuni kubwa sana Duniani.
Hivi kwann mnadharaugi toothpicks? Ungejua technology ya kuzitengeneza ilivyo ngumu ni mara 100 kuliko kutengeneza sabuni.Sabuni????
Kha!!!
Yaani hushangai toothpics za china ni bora kuliko za kwetu?? Sabuni mbona mbali sana
Mafunzo pia ni muda mfupi unakuwa mkemia wa kuchanganja yale ma ingredients ya kutengenezea sabuniChangamoto ni nyingi hasa kwa wakati/awamu hii,..lakini si kweli kwamba hatuna wataalam wazuri wa kutengeneza bidhaa ndani ya nchi au uwezo wa kuwa na viwanda bora vya kitaifa na kimataifa,...ukiritimba mwingi sisi badala ya kupiga hatua zaidi ya kuendelea mbele ajabu tunapiga hatua kurudi 0.
Shida ni siasa....