Sabuni ya jamaa na Tanzania ya viwanda

Sabuni ya jamaa na Tanzania ya viwanda

Hakuna mtu aliyedharau kitu hapo mkuu,just facts tuu ,tatizo letu ni kwamba hatufanyi kitu to perfection,thats all,so iwe sabuni,stics or anything,thats what i ment mkuu
Tumuombee rais wetu, ana nia njema sana na atafufua viwanda vya zamani na vipya vitajengwa. Ila tumuombe pia Mungu atupe uvumilivu, uelewa, nidhamu, na tuepuke kujazwa chuki dhidi ya rais wetu, maana kimsingi hatumuwezi. Ila kiukweli rais wetu anajitahidi sana.
 
Tumuombee rais wetu, ana nia njema sana na atafufua viwanda vya zamani na vipya vitajengwa. Ila tumuombe pia Mungu atupe uvumilivu, uelewa, nidhamu, na tuepuke kujazwa chuki dhidi ya rais wetu, maana kimsingi hatumuwezi. Ila kiukweli rais wetu anajitahidi sana.
Jiwe Lina Nia njema na Chato tu
 
Jiwe Lina Mia njema na Chato tu
Usiseme hivyo, ulishafika chato ukaona potential ya biashara ya samaki? Tuacheni kupinga kila kitu jamani. Halafu je ingekuwa ww ndio rais na ukaona nyumbani kwako kuna fursa za kibiashara usingepaendeleza?
 
Tumuombee rais wetu, ana nia njema sana na atafufua viwanda vya zamani na vipya vitajengwa. Ila tumuombe pia Mungu atupe uvumilivu, uelewa, nidhamu, na tuepuke kujazwa chuki dhidi ya rais wetu, maana kimsingi hatumuwezi. Ila kiukweli rais wetu anajitahidi sana.
Komba??
Kuomba kunaanzisha viwanda? Embu kuwa siriaz basi,we are soo far from kuomba hapa tulipofika,and to hell with him
 
Unilever si kampuni ya Kenya mkuu..ni kampuni kubwa sana Duniani.
Ni kwamba hizo bidhaa zote za unilever zinazotumika kwetu zinazalishwa Kenya inaweza kuwa kampuni siyo ya Kenya. Kwa kigezo hicho itabakia kuwa ni bidhaa kutoka
 
Pale wameweka kituo tuuu wazungu. Na sio kwamba tunashindana na Mkenya, pale ni mzungu, hao wakenya ni vibarua tuuuu
Hapa haziongelewi bidhaa za wakenya bali ni bidhaa kutoka Kenya, jata u china kuna viwanda vingi vya mabepali lakini bidhaa zitabakia kuwa ni china products.
 
Hapa haziongelewi bidhaa za wakenya bali ni bidhaa kutoka Kenya, jata u china kuna viwanda vingi vya mabepali lakini bidhaa zitabakia kuwa ni china products.
Upuuuzi tuuuu, kwa iyo unataka kusema kwamba wakenya wapo vizuri au?
 
kama "toothpick" zinatushinda unategemea nini mkuu?

Tz ya viwanda ni "an illusion" na "smoke screen"!
 
Ukweli siyo Kenya Siyo Tanzania quality ya products nyingi ipo chini ukilinganisha na products ulaya. TESCO, products na UCHUMI products wapi na wapi.
 
Upuuuzi tuuuu, kwa iyo unataka kusema kwamba wakenya wapo vizuri au?
Tumia ubongo, mbona upo nje ya mada. Mtoa mada kasema. "Sabuni ya jamaa inayotengenezwa nchini Kenya imekuwa ikifanya vizuri sana kwenye soko hapa Tanzania kwa miaka mingi sasa, kiasi ambacho imezifunika sabuni nyingi sana za kufulia hapa nchini" sasa hapo haujaelewa nini ndugu? Ni wapi hapo ulipo quote mbona upo nje ya content?
 
Hivi katika hali ya kawaida shida ni siasa au hawa jamaa wenye viwanda nchini kutokubadilika na kutumia teknolojia ya kisasa katika uzalishaji au kutojua waumudu vipi ushindani huu wa soko huria?

Mimi nafikiri si siasa tatizo ni wenye viwanda tulionao.

Kuna chumvi inaitwa kaysalt toka Kenya ina ubora wa hali ya juu kuanzia chumvi yenyewe hadi kifungashio. Miaka ya nyuma kidogo kulikuwa na viwanda kadhaa vya chumvi
ikiwepo malindi salt.

Kutokana na ubovu wa vifungashio(muonekano) na chumvi yenyewe, kaysalt ilipenya kwa urahisi sana soko la Tanzania na viwanda vya ndani kwa kutobadilika vikapotea mazima.
Huu ni mfano mdogo na ipo mingi sana.
Utafiti wa kuweka tawi la benki chato umefanywa na Raisi..!!! Unaionaje hiyo?

Kuna maeneo TANESCO wameweka transformer na nguzo kadhaa ili kumuwekea umeme kigogo fulani, HADI KUJA KU-BREAK EVEN ni kizazi cha tano huko maana wateja ni wachache kabisaa... UNAIONAJE HIYO?

Kuna repeater station (ya mtandao wa simu) ilijengwa LUPASO nyumbani kwa Mkapa na wateja wakuu walikuwa ni familia ya Mkapa.. Investment cost kuja kui-break even ni shida...

Decision ya kuiweka NBC kwa wale wasauzi miaka ileee, unadhani haikuwa ya kisiasa? Tumefaidika la lolote..???

MMT na Kilimanjaro machine tools, zimekufaje? Pamba engineering je?

Akina TANCUT almas kujengwa Iringa wakati RAW materal inapatikana SHinyanga, nayo haikuwa siasa?

Hata Hiyo gesi kuipeleka Dar nayo si ni siasa tu..?? BY THE WAY, UBUNGO NI NA ILE GESI NI KAMA VOLCANO INAYOSUBIRI KULIPUKA... Na tusivyoweza kuzongatia usalama, nakwambia itatukosti.... JUZI TU HAPA DAWASCO WAMEKATA ILE BOMBA YA GESI KULE BUGURUNI... CASES KAMA HIZO TUTAKUWA NAZO SANA TU....
 
Tulikuwa na sabuni hapa Mbeya iyunga ilikuwa inaitwa hi-soap kipindi cha miaka ya 90, sijajua nini kilitokea. sabuni hii ilikuwa bora sana.
 
Hao kenya nao watengeneze banana kama wataona ndani kwenye viwanda vyetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ngojeni apige marufuku mkose bidhaa bora kutoka nje.Suala ni ubora sio bidhaa inatoka wapi.Kama bidhaa zetu hazina ubora tutumie tu eti kujenga uchumi wetu .Boresheni bidhaa tusikubali kuliahana bidhaa duni
 
Back
Top Bottom