Kiparuanda
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 1,587
- 2,389
Tumuombee rais wetu, ana nia njema sana na atafufua viwanda vya zamani na vipya vitajengwa. Ila tumuombe pia Mungu atupe uvumilivu, uelewa, nidhamu, na tuepuke kujazwa chuki dhidi ya rais wetu, maana kimsingi hatumuwezi. Ila kiukweli rais wetu anajitahidi sana.Hakuna mtu aliyedharau kitu hapo mkuu,just facts tuu ,tatizo letu ni kwamba hatufanyi kitu to perfection,thats all,so iwe sabuni,stics or anything,thats what i ment mkuu