Sabuni ya jamaa na Tanzania ya viwanda

Sabuni ya jamaa na Tanzania ya viwanda

CCM JUU

Member
Joined
Aug 15, 2017
Posts
22
Reaction score
22
Sabuni ya jamaa inayotengenezwa nchini Kenya imekuwa ikifanya vizuri sana kwenye soko hapa Tanzania kwa miaka mingi sasa, kiasi ambacho imezifunika sabuni nyingi sana za kufulia hapa nchini.

Swali langu ambalo nataka kuwauliza wadau, je, ni kweli watanzania wameshindwa kabisa kuanzisha viwanda bora vya ku-compete na sabuni ya jamaa?...kwa nini tuendelee kuwanufaisha majirani zetu miaka yote hiyo?
 
Changamoto ni nyingi hasa kwa wakati/awamu hii,..lakini si kweli kwamba hatuna wataalam wazuri wa kutengeneza bidhaa ndani ya nchi au uwezo wa kuwa na viwanda bora vya kitaifa na kimataifa,...ukiritimba mwingi sisi badala ya kupiga hatua zaidi ya kuendelea mbele ajabu tunapiga hatua kurudi 0.
 
Shida ni siasa....
 
Mo amekopi na kupest inaitwa Taifa kama sijakosea
 
Sabuni????
Kha!!!
Yaani hushangai toothpics za china ni bora kuliko za kwetu?? Sabuni mbona mbali sana
Hivi kwann mnadharaugi toothpicks? Ungejua technology ya kuzitengeneza ilivyo ngumu ni mara 100 kuliko kutengeneza sabuni.
Sabuni hata watoto wangu wa darasa la nne kuna siku wakiamuaga wanatengenezea jikoni na tunafulia vizuri tu
 
Changamoto ni nyingi hasa kwa wakati/awamu hii,..lakini si kweli kwamba hatuna wataalam wazuri wa kutengeneza bidhaa ndani ya nchi au uwezo wa kuwa na viwanda bora vya kitaifa na kimataifa,...ukiritimba mwingi sisi badala ya kupiga hatua zaidi ya kuendelea mbele ajabu tunapiga hatua kurudi 0.
Mafunzo pia ni muda mfupi unakuwa mkemia wa kuchanganja yale ma ingredients ya kutengenezea sabuni
 
Kabisa Mkuu tizama walivyoisambaratisha Tanesco kwa kuingiza siasa ili walazimishe mikataba yao mbali mbali ya kifisadi. Mikataba ya IPTL, Escrow, Richmond, Umeme wa gas etc yote hii ilijaa ufisadi wa kutisha na haikuwa na maslahi yoyote kwa Watanzania bali kwa hili genge la wahuni ndani ya Serikali kuanzia fisadi Mkapa, Kikwete na huyu fisadi dhalimu. Matokeo yake Tanesco ambalo lilikuwa moja ya mashirika bora nchini sasa hivi limegubikwa na madeni makubwa mno na mikataba hiyo kusababisha Tanesco iendeshwe kwa hasara kubwa miaka nenda miaka rudi.

Shida ni siasa....
 
Sisi tuna vile visabuni vidogo vya kutumika mageust house vinatutosha.....
 
Msisahau na chumvi, sehemu kubwa ya chumvi nzuri inayouzwa Tanzania inatoka Mombasa, afadhali kidogo sasa ivi nimeona chumvi nyeupe toka Kigoma ila cjui kama wana mpango wa kushindana na zile za Kenya! Tatizo kubwa la wazalishaji wa tz wanakosa ubunifu.
 
Back
Top Bottom