Ngoja tutengeneze jamaa fekiMsisahau na chumvi, sehemu kubwa ya chumvi nzuri inayouzwa Tanzania inatoka Mombasa, afadhali kidogo sasa ivi nimeona chumvi nyeupe toka Kigoma ila cjui kama wana mpango wa kushindana na zile za Kenya! Tatizo kubwa la wazalishaji wa tz wanakosa ubunifu.
Mbuni iliyotengenezwa Mwanza kama ingekuwa inasmbazwa Tanzania leo Jamaa soap isingetamba kabisa. Hata Foma detergent ya enzi za mwalimu ilikuwa inacompete vizuri na Omo enzi hizo.Mbuni was the best enzi za Mwalimu
Zipo zinazotoka hadi sauzi, zingine UK n.k angalia vzuri details kwenye kopo lako mkuu. Tatizo wabongo tumekariri tukiona NIDO tu tunajua imetoka Kenya.So hizo bidhaa mnazotumi zinazalishwa wapi??
Naona unaanza ubishi tuu
Pale wameweka kituo tuuu wazungu. Na sio kwamba tunashindana na Mkenya, pale ni mzungu, hao wakenya ni vibarua tuuuuWako Nigeria, South Africa, Ghana hata Ireland ambako ndiyo headquarters
Bongo Nyoso sana. Ukiwa na kiwanda wanataka wawe wanakutumia kisiasa kama ilivyo kwa Antonio Diallo.Shida ni siasa....
Mo jamaa mjanja mjanja sana yani product zake za ovyo sana.Kweli kabisa Sabuni ya jamaa,mafuta ya nazi ya minara,colgate,omo,ariel,blue band yaani bidhaa za uniliver hazina mshindani tanzania.Kuna masabuni ya unga ya MO ukifulia mikono lazima itoke vipele
Acha siasa mkuu.Kabisa Mkuu tizama walivyoisambaratisha Tanesco kwa kuingiza siasa ili walazimishe mikataba yao mbali mbali ya kifisadi. Mikataba ya IPTL, Escrow, Richmond, Umeme wa gas etc yote hii ilijaa ufisadi wa kutisha na haikuwa na maslahi yoyote kwa Watanzania bali kwa hili genge la wahuni ndani ya Serikali kuanzia fisadi Mkapa, Kikwete na huyu fisadi dhalimu. Matokeo yake Tanesco ambalo lilikuwa moja ya mashirika bora nchini sasa hivi limegubikwa na madeni makubwa mno na mikataba hiyo kusababisha Tanesco iendeshwe kwa hasara kubwa miaka nenda miaka rudi.
Nani asambaze? Si mwenye kiwanda ndo anatakiwa asambaze au! tupo katika soko huria. Ukitoa product hafifu unatolewa kwenye soko.Mbuni iliyotengenezwa Mwanza kama ingekuwa inasmbazwa Tanzania leo Jamaa soap isingetamba kabisa. Hata Foma detergent ya enzi za mwalimu ilikuwa inacompete vizuri na Omo enzi hizo.Mfano bora Wa bidhaa ya Tanzania imebakia Whitedent tooth paste. Tatizo la mabepari uchwara Tanzania wakipewa viwanda wanapunguza baadhi ya ingredients na kuua ubora , lengo likiwa kupata faida kubwa sana . Hata mafuta ya Okay ya lake oil yalikuwa mazuri tu, ila sasa ufisadi ulishaua viwanda vyote vizuri au hata makodi makubwa yanachangia. Nawapongeza whitedent siwezi kutumia dawa tofauti na hiyo. Whitedent anamiliki 80% ya soko Tanzania.Kizuri kinajiuza na kibaya kinajitembeza. Hatuwezi kuhubiriwa eti penda bidhaa ya Tanzania jenga nchi yako. Weka good quality products huhitaji kutoa povu kupromote . Kuna mafuta fulani yaalizeti kiwanda cha mchina yanaitwa Rafiki oil yakija mdukani huwa stock ya mwaka mzima yanaisha kwa miezi 3 tu. Lakini wengi watalaumu wananchi kumbe kosa ni lao kudhani kuwa tunahitaji substandard products mradi being ni chini. Kama sio upepo kubadiika ilikuwa imefikia tunaanza kupata middle class wanaoangalia ubora sio bei muda huu.
Tuko busy, tunapiga risasi kina LISSU !
Shida ni siasa....