Kiparuanda
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 1,587
- 2,389
Tumuombee rais wetu, ana nia njema sana na atafufua viwanda vya zamani na vipya vitajengwa. Ila tumuombe pia Mungu atupe uvumilivu, uelewa, nidhamu, na tuepuke kujazwa chuki dhidi ya rais wetu, maana kimsingi hatumuwezi. Ila kiukweli rais wetu anajitahidi sana.Hakuna mtu aliyedharau kitu hapo mkuu,just facts tuu ,tatizo letu ni kwamba hatufanyi kitu to perfection,thats all,so iwe sabuni,stics or anything,thats what i ment mkuu
Jiwe Lina Nia njema na Chato tuTumuombee rais wetu, ana nia njema sana na atafufua viwanda vya zamani na vipya vitajengwa. Ila tumuombe pia Mungu atupe uvumilivu, uelewa, nidhamu, na tuepuke kujazwa chuki dhidi ya rais wetu, maana kimsingi hatumuwezi. Ila kiukweli rais wetu anajitahidi sana.
Usiseme hivyo, ulishafika chato ukaona potential ya biashara ya samaki? Tuacheni kupinga kila kitu jamani. Halafu je ingekuwa ww ndio rais na ukaona nyumbani kwako kuna fursa za kibiashara usingepaendeleza?Jiwe Lina Mia njema na Chato tu
Inaitwa CitronKuna sabuni ya kufulia kutoka Uturuki ilikuwepo enzi za Jakaya ilikuwa nzuri sana ni ya vipande inafungwq kwenye vipacket kipande kimoja kilikuwa shilingi 500
Asante mkuuInaitwa Citron
Komba??Tumuombee rais wetu, ana nia njema sana na atafufua viwanda vya zamani na vipya vitajengwa. Ila tumuombe pia Mungu atupe uvumilivu, uelewa, nidhamu, na tuepuke kujazwa chuki dhidi ya rais wetu, maana kimsingi hatumuwezi. Ila kiukweli rais wetu anajitahidi sana.
Ni kwamba hizo bidhaa zote za unilever zinazotumika kwetu zinazalishwa Kenya inaweza kuwa kampuni siyo ya Kenya. Kwa kigezo hicho itabakia kuwa ni bidhaa kutokaUnilever si kampuni ya Kenya mkuu..ni kampuni kubwa sana Duniani.
Hapa haziongelewi bidhaa za wakenya bali ni bidhaa kutoka Kenya, jata u china kuna viwanda vingi vya mabepali lakini bidhaa zitabakia kuwa ni china products.Pale wameweka kituo tuuu wazungu. Na sio kwamba tunashindana na Mkenya, pale ni mzungu, hao wakenya ni vibarua tuuuu
Upuuuzi tuuuu, kwa iyo unataka kusema kwamba wakenya wapo vizuri au?Hapa haziongelewi bidhaa za wakenya bali ni bidhaa kutoka Kenya, jata u china kuna viwanda vingi vya mabepali lakini bidhaa zitabakia kuwa ni china products.
Tumia ubongo, mbona upo nje ya mada. Mtoa mada kasema. "Sabuni ya jamaa inayotengenezwa nchini Kenya imekuwa ikifanya vizuri sana kwenye soko hapa Tanzania kwa miaka mingi sasa, kiasi ambacho imezifunika sabuni nyingi sana za kufulia hapa nchini" sasa hapo haujaelewa nini ndugu? Ni wapi hapo ulipo quote mbona upo nje ya content?Upuuuzi tuuuu, kwa iyo unataka kusema kwamba wakenya wapo vizuri au?
Utafiti wa kuweka tawi la benki chato umefanywa na Raisi..!!! Unaionaje hiyo?Hivi katika hali ya kawaida shida ni siasa au hawa jamaa wenye viwanda nchini kutokubadilika na kutumia teknolojia ya kisasa katika uzalishaji au kutojua waumudu vipi ushindani huu wa soko huria?
Mimi nafikiri si siasa tatizo ni wenye viwanda tulionao.
Kuna chumvi inaitwa kaysalt toka Kenya ina ubora wa hali ya juu kuanzia chumvi yenyewe hadi kifungashio. Miaka ya nyuma kidogo kulikuwa na viwanda kadhaa vya chumvi
ikiwepo malindi salt.
Kutokana na ubovu wa vifungashio(muonekano) na chumvi yenyewe, kaysalt ilipenya kwa urahisi sana soko la Tanzania na viwanda vya ndani kwa kutobadilika vikapotea mazima.
Huu ni mfano mdogo na ipo mingi sana.
Sasa mbona wewe unanunua JAMAA?Mo soap
Bakhresa soap
Mengi soap
Patel soap
Azania soap.
Sabuni nyingi tu zipo hapa nchini zenye ubora kabisa.
[emoji1] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
Duh ukilitimba
Naskia adi soseji nazo watawala hawazitaki za SA
Nchi hii ovyo sana
Hadi sasa.Mbuni was the best enzi za Mwalimu
Zinapatikana?Hadi sasa.