Sniper JF-Expert Member Joined Mar 8, 2008 Posts 1,957 Reaction score 827 Jul 18, 2018 #1 Mke wangu ana vipele vingi usoni na ameshauriwa na wingi atumie sabuni ya zoazoa. Wasiwasi wangu ni isije ikamchubua akaanza kuwa mweupe. Wadau, kabla hajaanza kuitumia ningependa kujua kama hii sabuni inachubua ama la?
Mke wangu ana vipele vingi usoni na ameshauriwa na wingi atumie sabuni ya zoazoa. Wasiwasi wangu ni isije ikamchubua akaanza kuwa mweupe. Wadau, kabla hajaanza kuitumia ningependa kujua kama hii sabuni inachubua ama la?
Deva JF-Expert Member Joined May 29, 2018 Posts 1,238 Reaction score 1,812 Jul 19, 2018 #2 Huwa naona kama ina katabia ka kung'arisha uso.
rubii JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 14,032 Reaction score 18,540 Jul 21, 2018 #3 Zoazoa ni tiba ya vipele tangu lini??
Uchira 1 JF-Expert Member Joined Oct 9, 2017 Posts 5,994 Reaction score 8,696 Jul 28, 2018 #4 mie nimeishindwa maana huwa nasikia ka inaniunguza
mbalizi1 JF-Expert Member Joined Dec 16, 2015 Posts 21,057 Reaction score 41,992 Jul 28, 2018 #5 Mngh! Zoa ZOA!!! Hilo jina tu linaleta mashaka