Sabuni ya Zoazoa: Inachubua ama la?

Sabuni ya Zoazoa: Inachubua ama la?

Sniper

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Posts
1,957
Reaction score
827
zoazoa.jpg


Mke wangu ana vipele vingi usoni na ameshauriwa na wingi atumie sabuni ya zoazoa. Wasiwasi wangu ni isije ikamchubua akaanza kuwa mweupe.

Wadau, kabla hajaanza kuitumia ningependa kujua kama hii sabuni inachubua ama la?
 
Huwa naona kama ina katabia ka kung'arisha uso.
 
Zoazoa ni tiba ya vipele tangu lini??
 
mie nimeishindwa maana huwa nasikia ka inaniunguza
 
Back
Top Bottom