Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Nimepita kwenye mitandao nikakutana na Taarifa ya Msiba wa SACP Beatus Silla ambaye mauti imemkuta akiwa MOI hapo jijini Dar. Kilichonifikirisha ni aina au namna watu/ wachangiaji wengi wakionyesha kufurahishwa na kifo hiki cha Askari wa Polisi.
Nawaomba Polisi, tuangalie sana mwisho wetu vile utakua, unaacha jina gani siku mauti yakikufika? Hii ni hatari sana kwa nchi.
Nawaomba Polisi, tuangalie sana mwisho wetu vile utakua, unaacha jina gani siku mauti yakikufika? Hii ni hatari sana kwa nchi.