milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Huko makao makuu! Alikuwa kwenye kitengo Cha walikuwa bench!
Pressure itakuwa inamsumbua kwa kukosa Urpc
Pressure itakuwa inamsumbua kwa kukosa Urpc
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hivi amebadilisha makazi, sio Iringa tena, ni aheraSilla? Ni kama namfahamu ni mtu wa Iringa/Dodoma kama sijakosea
Yes, they deserves that rewards.Huko X tangazo la msiba ni aibu. Watu wamekosa staha.
Apumzike kwa amani
RIP to himSasa hivi amebadilisha makazi, sio Iringa tena, ni ahera
Kila mwanadamu ana maadui pamoja na marafiki zakeKha, kumbe? Mpwa huu ni msiba ujue, huyu nae ana familia na ndugu ujue
Kumbe na wao wanafariki?Nimepita kwenye mitandao nikakutana na Taarifa ya Msiba wa SACP Beatus Silla ambaye mauti imemkuta akiwa MOI hapo jijini Dar. Kilichonifikirisha ni aina au namna watu/ wachangiaji wengi wakionyesha kufurahishwa na kifo hiki cha Askari wa Polisi.
Nawaomba Polisi, tuangalie sana mwisho wetu vile utakua, unaacha jina gani siku mauti yakikufika? Hii ni hatari sana kwa nchi.
View attachment 3229099
Unajua wanasiasa wetu hawajifunzi au hawapati somo kabisa , yale mauaji kama ya Mkuranga na Kibiti yakirudi sasa hivi Polisi watapata tabu sanaOkay.
Lakini ni kweli kabisa kwamba Wananchi wengi Sana huwa wanajihisi kuwa ni wenye furaha mioyoni mwao pale wanapopata taarifa ya kifo Cha Askari Polisi yoyote yule. Hii ni kutokana na matendo maovu ya baadhi ya Askari Polisi dhidi ya Raia na Wananchi wa kawaida.
Propaganda za Chuki wanazofanya Jeshi la Polisi ndio chanzo cha kuibuka kwa tatizo hili.
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa hapo chini:
Hali ni mbaya sana kupita kiasi.Unajua wanasiasa wetu hawajifunzi au hawapati somo kabisa , yale mauaji kama ya Mkuranga na Kibiti yakirudi sasa hivi Polisi watapata tabu sana
Ni wakati wa kurekebisha makosa yao sasa vinginevyo litatokea genge tena na likishaungwa mkono na wananchi tu basi imeisha