TANZIA SACP Beatus Silla wa Polisi Makao Makuu hatunae tena

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Nimepita kwenye mitandao nikakutana na Taarifa ya Msiba wa SACP Beatus Silla ambaye mauti imemkuta akiwa MOI hapo jijini Dar. Kilichonifikirisha ni aina au namna watu/ wachangiaji wengi wakionyesha kufurahishwa na kifo hiki cha Askari wa Polisi.

Nawaomba Polisi, tuangalie sana mwisho wetu vile utakua, unaacha jina gani siku mauti yakikufika? Hii ni hatari sana kwa nchi.
 
Hapa naona umeamua kuleta taarifa ya furaha, badala ya kinyume chake.
 

Okay.
Lakini ni kweli kabisa kwamba Wananchi wengi Sana huwa wanajihisi kuwa ni wenye furaha mioyoni mwao pale wanapopata taarifa ya kifo Cha Askari Polisi yoyote yule. Hii ni kutokana na matendo maovu ya baadhi ya Askari Polisi dhidi ya Raia na Wananchi wa kawaida.
Propaganda za Chuki wanazofanya Jeshi la Polisi ndio chanzo cha kuibuka kwa tatizo hili.
 
Et kuna mtu aliwahi sema kifo ni kifo tu, mwenye video au audio.
 
Kazi ya CCM hio
 
Huko X tangazo la msiba ni aibu. Watu wamekosa staha.

Apumzike kwa amani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…