TANZIA SACP Beatus Silla wa Polisi Makao Makuu hatunae tena

Huko makao makuu! Alikuwa kwenye kitengo Cha walikuwa bench!
Pressure itakuwa inamsumbua kwa kukosa Urpc
 
Sio lila kifo kina machozi mkuu.
Ref. Kifo cha JIWE. hakikuwa na machozi kwa watu wengi. Mie nikiwa m1 wao
 
Kumbe na wao wanafariki?
Hata wakifariki woote hao jamaa licha ya kwamba nina ndugu ambao pia ni police mimi sherehe tu.
 
Unajua wanasiasa wetu hawajifunzi au hawapati somo kabisa , yale mauaji kama ya Mkuranga na Kibiti yakirudi sasa hivi Polisi watapata tabu sana

Ni wakati wa kurekebisha makosa yao sasa vinginevyo litatokea genge tena na likishaungwa mkono na wananchi tu basi imeisha
 
RIP. Amefia MOI,kwani akipata ajali,ilikuwaje?
Na kwa nini watu wamefurahia kifo chake?
Mi sijawahi kumsikia huyu mtu.
Hii timing of Heaven,we notice it again and again.
Wakati Polisi wako katika ulinzi mkali,mmoja wao anafariki.
It was such a massive security operation.
Nilikuwa naziona helicopter zinapita hapa tena na tena flying very low and very slowly 10 or 29 metres above the ground.
A lot of money is invested in these meetings.
Yote hiyo kuhakikisha unaleta relief to those civilians who are caught in the cross fire of battle.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Taarifa hapo chini:
Hali ni mbaya sana kupita kiasi.

Tazama Comments za Watu kuhusiana na masuala haya ya Vifo vya Askari Polisi hapa Tanzania.
 

Attachments

  • Screenshot_20241002_190422_Lite.jpg
    613.9 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…