SACP Engelbert Kiondo - Kamishna mwandamizi msaidizi wa polisi anatakiwa kuwa IGP

SACP Engelbert Kiondo - Kamishna mwandamizi msaidizi wa polisi anatakiwa kuwa IGP

Wanabadilikaga hawa anavyozidi kupanda cheo na wingi wa molasisi unaongezeka kichwani na ubongo unayeyuka mwisho wa siku kichwa kinajaa molasisi na ndipo tatizo linapoanzia
 
You are missing the point...Mimi nazungumzia concept sijasema au kuzu gumzia vetting inavyofanyika Tanzania...una jazba Sana Kama ilivyo kawaida ya Ma-Chadema...
Kwangu mimi Tanzania kwa Sasa viongozi wetu wengi hawapatikani kwa vetting. Spoils system ndiyo inayotumika yaani kutunikiwa nafasi za uongozi kwa kujuana, na. Ukada kichama...vetting system ilitumika zaidi wakati wa Nyerere na kidogo Mwinyi...na pengine kidogo Mkapa...kwa Kikwete haikuwepo vetting, kwa Magufuli hakuna vetting..kwa Mama hakuna pia

@gogondwa
 
Wanabadilikaga hawa anavyozidi kupanda cheo na wingi wa molasisi unaongezeka kichwani na ubongo unayeyuka mwisho wa siku kichwa kinajaa molasisi na ndipo tatizo linapoanzia
Sio kwa kiwango cha weledi wa huyu Askari.
 
Back
Top Bottom