HORSE POWER
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 2,238
- 1,577
Anaweza kuwa anafaa sana.Lakini msisahau nchi hii maaskari wetu wa ngazi za juu wanafanya kazi kwa presha kubwa kwa maagizo ya hovyo kutoka kunakoitwa juu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii hotuba iweke laminationYote kwa yote nimshukuru Mungu kwamba kabla sijafa nimefanikiwa kumsikia polisi nwenye akili Tanzania hii akiongea kwa busara na hekima
Ameomba makazi kiana sijaona alipokosea ameonyesha flexibility ya hali ya juuNiliweka like kwenye video ya juu kumbe na mwenyewe ni mwanasiasa tu. Pumbavu
Aliongea vizuri pia
HajakoseaAmeomba makazi kiana sijaona alipokosea ameonyesha flexibility ya hali ya juu
Anune kwani C-ro Ni demu?Sirro atamnunia huyu jamaa.
Kwamba ameshushwa ama kapandishwa??
Mangi mwenzao.Vetting ya Aina yako itatupatia viongozi wa ajabu...vetting ni process siyo unamsikia mtu anatoa speech halafu unaishia hapo
Akishakuwa IGP atakuwa mpuuzi kama wengine, Kwani Sirro kabla ya hapo si kila mtu alikuwa anamtetea mbele ya Makonda?Sirro atamnunia huyu jamaa.
Well saidHaifai hata kwenye nafasi aliyonayo sasa. Ukisikiliza vizuri utagundua kuwa hana anacho simamia isipokuwa anajiona yeye ndiyo anaelewa na yeye ndiyo mwenye haki. pia ana siasa za ukada. Tunataka polisi mwenye intelegence na uwezo wa uongozi kama alivyokuwa afande Said Mwema na siyo aina hii ya polisi amabao ni makada. wanaendesha shughuli za kipolisi as if tupo chini ya ukoloni.
Japo ni CCM lakini umeongea point snYou are missing the point...Mimi nazungumzia concept sijasema au kuzu gumzia vetting inavyofanyika Tanzania...una jazba Sana Kama ilivyo kawaida ya Ma-Chadema...
Kwangu mimi Tanzania kwa Sasa viongozi wetu wengi hawapatikani kwa vetting. Spoils system ndiyo inayotumika yaani kutunikiwa nafasi za uongozi kwa kujuana, na. Ukada kichama...vetting system ilitumika zaidi wakati wa Nyerere na kidogo Mwinyi...na pengine kidogo Mkapa...kwa Kikwete haikuwepo vetting, kwa Magufuli hakuna vetting..kwa Mama hakuna pia
@gogondwa