You are missing the point...Mimi nazungumzia concept sijasema au kuzu gumzia vetting inavyofanyika Tanzania...una jazba Sana Kama ilivyo kawaida ya Ma-Chadema...
Kwangu mimi Tanzania kwa Sasa viongozi wetu wengi hawapatikani kwa vetting. Spoils system ndiyo inayotumika yaani kutunikiwa nafasi za uongozi kwa kujuana, na. Ukada kichama...vetting system ilitumika zaidi wakati wa Nyerere na kidogo Mwinyi...na pengine kidogo Mkapa...kwa Kikwete haikuwepo vetting, kwa Magufuli hakuna vetting..kwa Mama hakuna pia
@gogondwa