SACP Engelbert Kiondo - Kamishna mwandamizi msaidizi wa polisi anatakiwa kuwa IGP

Anaweza kuwa anafaa sana.Lakini msisahau nchi hii maaskari wetu wa ngazi za juu wanafanya kazi kwa presha kubwa kwa maagizo ya hovyo kutoka kunakoitwa juu.
 
Yote kwa yote nimshukuru Mungu kwamba kabla sijafa nimefanikiwa kumsikia polisi nwenye akili Tanzania hii akiongea kwa busara na hekima
Hii hotuba iweke lamination
Inafaa kuombea Mkopo bila riba huko WB na IMF
Hotuba kama hizi hutokea kila baada ya miaka 45 hasa kwenye hilo jeshi
 
Anatakiwa na nani? Sema anaweza kuwa IGP.
Lakini yote inategemea seniority aliyo nayo.
Wiki iliyopita tulikuwa tunàambiwa Susan Kaganda practically ameshakuwa IGP.
 
Ukiona majambazi, wauza unga na wahalifu wanapendekeza au wanatuchagulia igp basi ujue kuna kuna jambo lao. Ogopa sana.
 
IGP anaekuja ni Susan Kaganda
 
Huyu bwana ni kichwa hapendi kuyumbishwa vichwa vya namna hii ccm inaogopa vitafanya mapinduzi
 
Haifai hata kwenye nafasi aliyonayo sasa. Ukisikiliza vizuri utagundua kuwa hana anacho simamia isipokuwa anajiona yeye ndiyo anaelewa na yeye ndiyo mwenye haki. pia ana siasa za ukada. Tunataka polisi mwenye intelegence na uwezo wa uongozi kama alivyokuwa afande Said Mwema na siyo aina hii ya polisi amabao ni makada. wanaendesha shughuli za kipolisi as if tupo chini ya ukoloni.
 
Well said
 
Japo ni CCM lakini umeongea point sn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…