Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Kama vile kajifanya kumdanganya simba kuwa amekufa, na inaelekea simba nae kakubali jamaa kavuta ile anasubiri kidogo huenda akafufuka, sasa jamaa akikosea tu.....analo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samahani mkuu mbona ukijaribu kuizoom hiyo picha jamaa anaonekana ana mikono yake yote miwili?
pamoja na hayo mkuu ila mi hunipitishi hayo maeneo bila kinga yeyote.hata bush knife?
Hapa mimi sijaelewa simba anakula nini.
Kama vile kajifanya kumdanganya simba kuwa amekufa, na inaelekea simba nae kakubali jamaa kavuta ile anasubiri kidogo huenda akafufuka, sasa jamaa akikosea tu.....analo
View attachment 21359Na huyu je alisalimika kweli?
Nakubaliana na wewe hapa kuna maswali mengi kuliko majibu. isijeikawa dukalapicha.Mkuu hapa hichi kipengere hakiihitaji majibu mepesi kwa maswali mazito, cameran alikuwa wapi?na alivyowaona hao simba sita wanakuja yeye alikuwa kwenye mazingira gani? sio nia yangu kubishana, ila ungeileta hii story katika mtiririko mzuri ili tujuwe wats happen? na ujuwe serou game reserve ni kubwa kuliko nchi ya Djibout. ni vizuri kama tutaijuwa hiyo sehemu ni, Barani, kingupira, luhanjando, migingo, luwele au wapi? Asante.
mkuu acha mzaha
bora mkuu umesema hapa manake wengine hapa hawaamini ilihali hata selous yenyewe hawajui iko wapiSimba wengi sana selous especially maeneo ya morogoro vijijini hasa dutumi na maeneo ya kisaki ambapo mbuga za selous na mikumi zinakutana.
Mwaka juzi tulipata shida sana dutumi wakati tunafanya survey ya umwagiliaji dutumi, simba walimjeruhi vibaya sana mwenzetu, pamoja na nyati. Next week naenda kisaki kwa topo survey ya kisaki irrigation scheme wasiwasi mtupu kwani hata game wanajilinda kwanza`wao.
Simba wengi sana selous especially maeneo ya morogoro vijijini hasa dutumi na maeneo ya kisaki ambapo mbuga za selous na mikumi zinakutana.
Mwaka juzi tulipata shida sana dutumi wakati tunafanya survey ya umwagiliaji dutumi, simba walimjeruhi vibaya sana mwenzetu, pamoja na nyati. Next week naenda kisaki kwa topo survey ya kisaki irrigation scheme wasiwasi mtupu kwani hata game wanajilinda kwanza`wao.
Haaa Mpwa, siwezi fanya mizaha hata siku moja, soma comment yangu ya kwanza, hii ya pili ilikua mwendelezo wa comment mojawapo iliyouliza kuwa mbona mkono wa pili kama vile upo? na nani aliepiga picha na akiwa wapi? sorry mpwa kama nimeleta comment yenye utata, sorry once more, hope umenielewa na kunisamehe.Ndugu sijakuelewa. Najua huwezi kuwa unafanya utani kwa hali ya kwenye picha hapo juu. Najua pia huwezi kuwa hujui kuwa mwendesha baiskeli ndiyo kapoteza maisha. Sasa sijui lipi ni lipi. Hujui kuwa mtu kafa (jambo linalosikitisha) au unafanya mizaha (jambo linalosikitisha zaidi). Nashindwa kukuelewa.
Nisahihishe, Selous iko Morogoro au Ruvuma - Wilaya ya Namtumbo/Tunduru?
Nisahihishe, Selous iko Morogoro au Ruvuma - Wilaya ya Namtumbo/Tunduru?