sad:: mwendesha baiskeli akutana na simba selous

Kama vile kajifanya kumdanganya simba kuwa amekufa, na inaelekea simba nae kakubali jamaa kavuta ile anasubiri kidogo huenda akafufuka, sasa jamaa akikosea tu.....analo
 
Samahani mkuu mbona ukijaribu kuizoom hiyo picha jamaa anaonekana ana mikono yake yote miwili?

jaribu kuupa ubongo wako ushikikiano hii picha ilipigwa sio karibu na kabla ya askari kufika na kumkurupusha, huyu simba akawa amesha wahi kunyofoa mkono na kunyonya damu ya jamaa shingoni na kuondoka..
 
Wow.jpgNa huyu je alisalimika kweli?
 
Kama vile kajifanya kumdanganya simba kuwa amekufa, na inaelekea simba nae kakubali jamaa kavuta ile anasubiri kidogo huenda akafufuka, sasa jamaa akikosea tu.....analo

Ndugu sijakuelewa. Najua huwezi kuwa unafanya utani kwa hali ya kwenye picha hapo juu. Najua pia huwezi kuwa hujui kuwa mwendesha baiskeli ndiyo kapoteza maisha. Sasa sijui lipi ni lipi. Hujui kuwa mtu kafa (jambo linalosikitisha) au unafanya mizaha (jambo linalosikitisha zaidi). Nashindwa kukuelewa.
 
Mkuu hapa hichi kipengere hakiihitaji majibu mepesi kwa maswali mazito, cameran alikuwa wapi?na alivyowaona hao simba sita wanakuja yeye alikuwa kwenye mazingira gani? sio nia yangu kubishana, ila ungeileta hii story katika mtiririko mzuri ili tujuwe wats happen? na ujuwe serou game reserve ni kubwa kuliko nchi ya Djibout. ni vizuri kama tutaijuwa hiyo sehemu ni, Barani, kingupira, luhanjando, migingo, luwele au wapi? Asante.
Nakubaliana na wewe hapa kuna maswali mengi kuliko majibu. isijeikawa dukalapicha.
 
Simba wengi sana selous especially maeneo ya morogoro vijijini hasa dutumi na maeneo ya kisaki ambapo mbuga za selous na mikumi zinakutana.
Mwaka juzi tulipata shida sana dutumi wakati tunafanya survey ya umwagiliaji dutumi, simba walimjeruhi vibaya sana mwenzetu, pamoja na nyati. Next week naenda kisaki kwa topo survey ya kisaki irrigation scheme wasiwasi mtupu kwani hata game wanajilinda kwanza`wao.
 
bora mkuu umesema hapa manake wengine hapa hawaamini ilihali hata selous yenyewe hawajui iko wapi
 
Simba wengi sana selous especially maeneo ya morogoro vijijini hasa dutumi na maeneo ya kisaki ambapo mbuga za selous na mikumi zinakutana.
Mwaka juzi tulipata shida sana dutumi wakati tunafanya survey ya umwagiliaji dutumi, simba walimjeruhi vibaya sana mwenzetu, pamoja na nyati. Next week naenda kisaki kwa topo survey ya kisaki irrigation scheme wasiwasi mtupu kwani hata game wanajilinda kwanza`wao.

Nisahihishe, Selous iko Morogoro au Ruvuma - Wilaya ya Namtumbo/Tunduru?
 
Ndugu sijakuelewa. Najua huwezi kuwa unafanya utani kwa hali ya kwenye picha hapo juu. Najua pia huwezi kuwa hujui kuwa mwendesha baiskeli ndiyo kapoteza maisha. Sasa sijui lipi ni lipi. Hujui kuwa mtu kafa (jambo linalosikitisha) au unafanya mizaha (jambo linalosikitisha zaidi). Nashindwa kukuelewa.
Haaa Mpwa, siwezi fanya mizaha hata siku moja, soma comment yangu ya kwanza, hii ya pili ilikua mwendelezo wa comment mojawapo iliyouliza kuwa mbona mkono wa pili kama vile upo? na nani aliepiga picha na akiwa wapi? sorry mpwa kama nimeleta comment yenye utata, sorry once more, hope umenielewa na kunisamehe.
 
Back
Top Bottom