SAD NEWS: "Kutoka Chuo kikuu kishiriki cha ushirika
na stadi za biashara Moshi (MUCCoBS)...Mwanafunzi
mwaka wa tatu BA-MFED (microfinance and
enterprises management) Samson Mbena, aka Sam
Timbe kutoka Mbeya city amefariki dunia baada ya
kujinyonga siri kubwa yatawala kifo chake........RIP Sam" Poleni SANA....
For every unsucessfully man like him there is a women behind
duh, R.I.P kijana.
Acha zako na wewe, kwani huyo wa Mbeya ni Mnyalu? Na yule aliyejinyonga guest Dar es salaam alikuwa Mnyalu? Acheni hizo bwana, wanyalu tulishaacha siku nyingi hizi habari za kujinyonga.Sababu ya kunyinyonga huwa anayo yeye aliyejinyoja tu. hata akiandika sababu ya yeye kujinyonga ukweli hubaki na aliyejinyonga. Hakika hii trend ya Wanyalu kijinyonga inaonekana haiondolewi kwa shule wala kwa dini maana msomi kama yeye tulitegemea asijinyonge ati. Ki-imani hakuna RIP kwa aliyejinyonga na ndio maana kwa wakiristo wa kweli mwili wa aliyejinyonga huzikwa kipagani eti.