Sad news: Mwanafunzi wa MUCCoBS ajinyonga

Sad news: Mwanafunzi wa MUCCoBS ajinyonga

i pad3

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2012
Posts
1,518
Reaction score
378
SAD NEWS: "Kutoka Chuo kikuu kishiriki cha ushirika
na stadi za biashara Moshi (MUCCoBS)...Mwanafunzi
mwaka wa tatu BA-MFED (microfinance and
enterprises management) Samson Mbena, aka Sam
Timbe kutoka Mbeya city amefariki dunia baada ya
kujinyonga siri kubwa yatawala kifo chake........RIP Sam" Poleni SANA....
 
wakishachukua majibu kwa dr, huwa wanajikolimba! rip!
 
SAD NEWS: "Kutoka Chuo kikuu kishiriki cha ushirika
na stadi za biashara Moshi (MUCCoBS)...Mwanafunzi
mwaka wa tatu BA-MFED (microfinance and
enterprises management) Samson Mbena, aka Sam
Timbe kutoka Mbeya city amefariki dunia baada ya
kujinyonga siri kubwa yatawala kifo chake........RIP Sam" Poleni SANA....

Sababu ya kunyinyonga huwa anayo yeye aliyejinyoja tu. hata akiandika sababu ya yeye kujinyonga ukweli hubaki na aliyejinyonga. Hakika hii trend ya Wanyalu kijinyonga inaonekana haiondolewi kwa shule wala kwa dini maana msomi kama yeye tulitegemea asijinyonge ati. Ki-imani hakuna RIP kwa aliyejinyonga na ndio maana kwa wakiristo wa kweli mwili wa aliyejinyonga huzikwa kipagani eti.
 
College sweetheart ameshaharibu akili..

Mapenzi ya chuo matamu sana
 
Cognitive domain ya mtu ndio serikali yake na hapo ndipo psychology inapohitajika kwa kila mwanadamu.
 
According to the World Health
Organization (WHO), someone around the globe commits suicide every 40 seconds. In the year 2000, 815,000 people lost their lives to suicide — more than double the number of people who die as a direct result of armed conflict every year
(306,600). For people between the ages of 15 and 44, suicide is the fourth leading cause of death and the sixth leading cause of disability and infirmity worldwide.
 
Picha ya Samson Mbena
33.jpg
 
Dah, kweli hii ndio dunia...wakati wengine wanatamani kuongezewa uhai wengine wanakatisha uhai wao wenyewe!!
Pole kwa familia na wapendwa wake wote
 
Sababu ya kunyinyonga huwa anayo yeye aliyejinyoja tu. hata akiandika sababu ya yeye kujinyonga ukweli hubaki na aliyejinyonga. Hakika hii trend ya Wanyalu kijinyonga inaonekana haiondolewi kwa shule wala kwa dini maana msomi kama yeye tulitegemea asijinyonge ati. Ki-imani hakuna RIP kwa aliyejinyonga na ndio maana kwa wakiristo wa kweli mwili wa aliyejinyonga huzikwa kipagani eti.
Acha zako na wewe, kwani huyo wa Mbeya ni Mnyalu? Na yule aliyejinyonga guest Dar es salaam alikuwa Mnyalu? Acheni hizo bwana, wanyalu tulishaacha siku nyingi hizi habari za kujinyonga.
 
Back
Top Bottom