Sad News: The Weeknd, Diamond, Rayvanny na Zuchu GRAMMY hawajapata haki yao

Sad News: The Weeknd, Diamond, Rayvanny na Zuchu GRAMMY hawajapata haki yao

Diamond ni jina la kike (Gemstones names zote wanatumia wanawake kama Ruby na mengine) wangemuweka kwenye category ya kike au kiume
 
Sasa ndomana nikakwambia burnaboy anauspecial gani kumzidi rayvanny...?kuanzia kutambulika kimataifa na kadhalika...?unajua kuwa BET ya Kwanza rayvanny kachukua 2017, burnaboy BET ya kwannza kachukua 2019...?Sasa Nani zaidi

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Rayvanny bet kachukulia nje ya ukumbi..
Burna boy bet kachukulia ndani ya ukumbi..
Kuna tofauti kubwa sana hapo
 
Rayvanny bet kachukulia nje ya ukumbi..
Burna boy bet kachukulia ndani ya ukumbi..
Kuna tofauti kubwa sana hapo
Hivi ni kweli?
Niliskiaga kwamba shughuli ipo usiku wengine wanapewa tuzo mchana .

Ndo hao kina mnyakyusa
 
Back
Top Bottom