Sad News: The Weeknd, Diamond, Rayvanny na Zuchu GRAMMY hawajapata haki yao

Habarini Wana jamvi:

Kiukweli Grammy zimepoteza credibility yao Kama ya zamani,na hii imejidhihirisha kutokana na ubaguzi na kutokuwaweka wasanii ambao wanastahili kuwepo kwenye nomination zao. Hii imetokea kutokana na wasanii nguli wenye vigezo kutokutajwa katika kipengere chochote.

Mtu Kama the weekend pamoja na album take ya after hours inakosaje hata nomination moja...!!!???,wimbo Kama blinding lights inakosaje hata song of the year wakati umedumu top 10 billiboards kwa siku 51 mfululizo.

Na kwa maana hii,ndo maana the weekend amezishutumu,yaani unamuweka Justin bierber afu unamuacha the weekend...?na album yake ya mwaka?

Justin bieber nae kalalamika eti wamemuweka category ya album Bora ya pop na sio r&b,ashukuru hata hapo maana amebebwa Sana.

Mtu Kama master KG anakosaje hata category moja, halafu Burnaboy anapata au ndo P. Diddy kaonga mkwanja mrefu Sana..?maana nasikia yeye ndo executive producer.

Mtu Kama Diamond Platnumz anakosaje category ya video of the year,wakati sote tunajua kuwa hakuna creative wa video Africa Kama SIMBA, Kama sio huujumu ni nini?

Mtu Kama Rayvanny unakosaje album of the year globally kwa kitu Cha flowers...!!!???au tatizo connection,lugha,pesa maana kaitendea haki.

Zuchu ameonewa,yaani unachukua best new comer Africa ,afu unakosa nomination hata moja...!!!???

N.B: DIAMOND, RAYVANNY,ZUCHU,THE WEEKND KUKOSA NI FUNZO KUWA KANYE WEST KUZITUPA CHOONI NA KUZIKOJOLEA INAUKWELI KUWA WANAPENDELEA.
upinzani nchi hii hautakufa kwa sababu hakuna chadema. wala chadema haitakufa kwa kufukuza watu 19. upinzani hauwezi kufa kamwe kwa sababu ccm haina mawazo ya kuongoza nchi. ni hajuza. kizee. haina uwezo wa kufanya lolote mbali na kutumia maguvu na hujuma.
 
Kwahiyo ulikua unasubiri DIAMOND achukue grammy we kweli ni fangasi
Huyu shosti kigoma independent anasema chuchu ni level Moja na the weekend
Hadi mwaka huu the weekend ana utajiri wa pesa za kitanzania bilioni 200, tuzo alizochukua the weekend ni nyingi mno za kimataifa, tena kubwa, sasa chuchu na dai kulinganishwa level Moja na huyu jamaa sijui ndio mahaba Niue dai
 
Hapo kwa Master KG nakuunga mkono, Dunia nzima inamkubali mwaka huu. Wao wampe tu huyo Burna Boy wao.
 
Habarini Wana jamvi:

Kiukweli Grammy zimepoteza credibility yao Kama ya zamani,na hii imejidhihirisha kutokana na ubaguzi na kutokuwaweka wasanii ambao wanastahili kuwepo kwenye nomination zao. Hii imetokea kutokana na wasanii nguli wenye vigezo kutokutajwa katika kipengere chochote.

Mtu Kama the weekend pamoja na album take ya after hours inakosaje hata nomination moja...!!!???,wimbo Kama blinding lights inakosaje hata song of the year wakati umedumu top 10 billiboards kwa siku 51 mfululizo.

Na kwa maana hii,ndo maana the weekend amezishutumu,yaani unamuweka Justin bierber afu unamuacha the weekend...?na album yake ya mwaka?

Justin bieber nae kalalamika eti wamemuweka category ya album Bora ya pop na sio r&b,ashukuru hata hapo maana amebebwa Sana.

Mtu Kama master KG anakosaje hata category moja, halafu Burnaboy anapata au ndo P. Diddy kaonga mkwanja mrefu Sana..?maana nasikia yeye ndo executive producer.

Mtu Kama Diamond Platnumz anakosaje category ya video of the year,wakati sote tunajua kuwa hakuna creative wa video Africa Kama SIMBA, Kama sio huujumu ni nini?

Mtu Kama Rayvanny unakosaje album of the year globally kwa kitu Cha flowers...!!!???au tatizo connection,lugha,pesa maana kaitendea haki.

Zuchu ameonewa,yaani unachukua best new comer Africa ,afu unakosa nomination hata moja...!!!???

N.B: DIAMOND, RAYVANNY,ZUCHU,THE WEEKND KUKOSA NI FUNZO KUWA KANYE WEST KUZITUPA CHOONI NA KUZIKOJOLEA INAUKWELI KUWA WANAPENDELEA.
Alafu wewe bhana 😂😂😂 hivi unachukuliaje grammy? Unadhani ni kili awards zile! Hata km unapenda wasafi sio hivyo
 
Wakalishe mananii yao sasa,
 
Nimecheka ila inno wee soon utakua chizi lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Grammy sio Wasafi festival, jishikilie wee mtu khaaaah
 
Back
Top Bottom