Sad News: The Weeknd, Diamond, Rayvanny na Zuchu GRAMMY hawajapata haki yao

Ebu kamanda uwe unatumia akili sometime usiweunalalamika kama wa Kina Alikiba usiwe mtu wa mihemko na ushabiki wa kijinga Huu Uzi wako Hakuna atakae sapoti hata mashabiki wa Diamond wenyewe umeandika pumba Sana.
Tutolee hapa wewe najua nishabiki wa kibamia na kundu boy[emoji23][emoji23][emoji23],unazania Kuna shabiki wa WCB mbugira Kama wewe au amefurahishwa na kitendo cha WCB kukosa nomination hata moja pumbavu[emoji109]

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo ni hao uliowataja kutokuepo nadhani hilo ndo jambo lako.... Tengeneza zako wape.
 
wooi kila mmoja hapa anajua hao kina The Weekend unawatumia tu kufikisha kilio chako dhidi boy wa ndoto zako a.k.a Diamond.
[emoji23][emoji23][emoji23] team kiba mna makasikiko kweli ,yaani ukweli usiseme kuwa The weekend kanyimwa Kama ambavyo diamond amevyofanyiwa figisu afu akapewa burnaboy mwenyw sauti nzito[emoji23][emoji23][emoji23][emoji109]
 
yale makofia kina Diamond, Alikiba , Harmonize na zuchu waliyopewa na Mzee Pombe ndiyo tuzo zao za mwaka huu wakae watulie waache kukariri na wewe pia tafuta hela acha kupoteza muda wako kupapatikia wanaume.
 
Kafanye kazi wewe kutwa kwenye mitandao kutoa mapovu ya diamond. Utakufa masikini.

Umetoka kwenu kibondo- kigoma umenunuliwa tekno spark unaona umeyamaliza maisha.
 
yale makofia kina Diamond, Alikiba , Harmonize na zuchu waliyopewa na Mzee Pombe ndiyo tuzo zao za mwaka huu wakae watulie waache kukariri na wewe pia tafuta hela acha kupoteza muda wako kupapatikia wanaume.
Na The weekend na yeye kapewa kofia...!!!??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji109]
 
Back
Top Bottom