Sad News: The Weeknd, Diamond, Rayvanny na Zuchu GRAMMY hawajapata haki yao

Sad News: The Weeknd, Diamond, Rayvanny na Zuchu GRAMMY hawajapata haki yao

The weekend nae...!!!??maana na yeye amelalamika[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Acha utaahira soma hapa
Screenshot_20201126-100133.png
 
Wamekosa sawa,unaweza ukatuwekea walioshindanishwa nao wakapita mkuu,
Na kumweka The weekend sawa na hao upcoming dah[emoji28]
 
Yaani mwanzo umeanza vizuri mwisho Sasa unakuja kulaumu watu kwa sababu ya Msanii wa Remix [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Diamond kafanya nin kikubwa na huyo Rayvanny ku mkompea na Burnaboy
 
Hivi sisi watanzania tumeshindwa kabisa kuanzisha tuzo zetu kweli jamani? Mbona tunatia aibu sana?
Tena Kuna fursa kubwa sana ya kibiashara kupitia tuzo endapo mtu akaamua kuanzisha. Yule owner anakua na fursa kubwa sana ya kujitangaza kibiashara. Sasa sijui watanzania akili za kubuni tulizitupa kwenye kisima gani.
 
Hivi sisi watanzania tumeshindwa kabisa kuanzisha tuzo zetu kweli jamani........??? Mbona tunatia aibu sana......!!!!!
Tena Kuna fursa kubwa sana ya kibiashara kupitia tuzo endapo mtu akaamua kuanzisha.....yule owner anakua na fursa kubwa sana ya kujitangaza kibiashara........Sasa sijui watanzania akili za kubuni tulizitupa kwnye kisima gani
Sisi tuna kazi maalum ya kulaumu hayo mambo ya tuzo wataanzisha wengine[emoji3]
 
Back
Top Bottom