Sad News: The Weeknd, Diamond, Rayvanny na Zuchu GRAMMY hawajapata haki yao

Sad News: The Weeknd, Diamond, Rayvanny na Zuchu GRAMMY hawajapata haki yao

Sisi tuna kazi maalum ya kulaumu hayo mambo ya tuzo wataanzisha wengine[emoji3]
Hahahahaa kwa kwelii........lakini unajua tuzo za kipindi Cha nyuma za ktma zilipata changamoto kubwa sana kutokana na level ya muziki wetu kipindi kile na technology bado ilikua chini...

But now mtu ukiwa na nafasi ya kuanzisha tuzo zinakua tuzo kwwli coz kwa Sasa muziki wa bongo umekuwa muziki mkubwa sana africa na hivo inakua pia fursa ya kufanya biashara zingine kubwa kubwa
 
Yan mwanzo umeanza vizur mwisho Sasa unakuja kulaum watu kwa sababu ya Msanii wa Remix [emoji1787][emoji1787][emoji1787]diamond kafanya nn kikubwa na uyo rayvanny ku mkompea na Burnaboy
Tunachoangalia ni kumkosea diamond platinumz heshima,Kama kuimba burnaboy aiingii hata robo kwa rayvanny kuanzia sauti

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Hivi sisi watanzania tumeshindwa kabisa kuanzisha tuzo zetu kweli jamani........??? Mbona tunatia aibu sana......!!!!!
Tena Kuna fursa kubwa sana ya kibiashara kupitia tuzo endapo mtu akaamua kuanzisha.....yule owner anakua na fursa kubwa sana ya kujitangaza kibiashara........Sasa sijui watanzania akili za kubuni tulizitupa kwnye kisima gani
Kwani haujui kulikuwa na KTMA...!!!??,unajua chanzo Cha kufa ....?yaani unampa alikiba mtumbuizaji Bora Tanzania,afu unamnyima diamond platinumz afu anaenda kuchujua ya Africa nzima[emoji23][emoji23][emoji23], diamond platinumz akaona no utopolo akasema hatakaa ashiriki Tena tuzo zozote za Tanzania,unazania bila diamond platinumz Kuna kinachoendelea zikadoda[emoji23][emoji23][emoji23],zikaja na EATV AWARD wakampa kiba WCB wakaon msituchezee wagoma sizikafa[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Bos wako mwenyewe amesha Sema usanii ingekua saut angemsain wema
Sasa ndomana nikakwambia burnaboy anauspecial gani kumzidi rayvanny...?kuanzia kutambulika kimataifa na kadhalika...?unajua kuwa BET ya Kwanza rayvanny kachukua 2017, burnaboy BET ya kwannza kachukua 2019...?Sasa Nani zaidi

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Sasa ndomana nikakwambia burnaboy anauspecial gani kumzidi rayvanny...?kuanzia kutambulika kimataifa na kadhalika...?unajua kuwa BET ya Kwanza rayvanny kachukua 2017, burnaboy BET ya kwannza kachukua 2019...?Sasa Nani zaidi

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
usirudie tena kumuhusisha Burnboy na vitu vya kipuuzi.
 
Huo unaozungumzia ni ushabiki hata angepita weeknd mashibiki wa bieber wangelalamika pia. mwisho wa siku anayestahili ni yule alipata kura nyingi maana kinachoaumua ushindi ni kura.
Daaaaaah ushabiki Tena...!!!???yaani unamaanisha Changes album inaizidi after hours album,au Kuna ngoma yoyote ya bierber huu mwaka inaizidi blinding lights....!!!??? Kuanzia kimauzo,charts,streams kwa huu mwaka the weekend Yuko hatua 100m than JB,kawaulize AMA(American music awards),ndo wanamjua amechowafanyia yaani bierber now hamna kitu

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Kwani haujui kulikuwa na KTMA...!!!??,unajua chanzo Cha kufa ....?yaani unampa alikiba mtumbuizaji Bora Tanzania,afu unamnyima diamond platinumz afu anaenda kuchujua ya Africa nzima[emoji23][emoji23][emoji23], diamond platinumz akaona no utopolo akasema hatakaa ashiriki Tena tuzo zozote za Tanzania,unazania bila diamond platinumz Kuna kinachoendelea zikadoda[emoji23][emoji23][emoji23],zikaja na EATV AWARD wakampa kiba WCB wakaon msituchezee wagoma sizikafa[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Nadhani katika kuendelea kusoma Soma comment zangu baada ya hii ulioiquote.....ungeweka umakini katika comment zingine chini ya hii...nimeiongelea KTMA.....!!!!

Sasa midadi ilikuzidi ukareply haraka bila kupitia mjadala
 
Ndio Mana Nika kwambia haiwezekani kuanzishwa tuzo wakati before ilikuepo KTMA na ikafa ,na wanavyofanya Grammy soon inakufa sawa dogo ,wewe ndo umekurupuka na midadi yako usikaze fuvu[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Ndio Mana Nika kwambia haiwezekani kuanzishwa tuzo wakati before ilikuepo KTMA na ikafa ,na wanavyofanya Grammy soon inakufa sawa dogo ,wewe ndo umekurupuka na midadi yako usikaze fuvu[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Kila kitu kinazaliwa au kuanzisha basi lazma kiwe na mwisho wake........ninachokiongelea mimi hapa..ni fursa ya kibiashara iliopo kupitia tuzo hapa bongo kwa Sasa kama endapo kutapatikana company kubwa ya kuendesha huo mchongo.....!!!!

Kwenye biashara huwa hatujadili maswala ya kwamba eti hii biashara itakufa tu....kikubwa ni kukamata fursa unayoiona hayo mengine ni unseen future.
 
Habarini Wana jamvi:

Kiukweli Grammy zimepoteza credibility yao Kama ya zamani,na hii imejidhihirisha kutokana na ubaguzi na kutokuwaweka wasanii ambao wanastahili kuwepo kwenye nomination zao.

Hii imetokea kutokana na wasanii nguli wenye vigezo kutokutajwa katika kipengere chochote.

Mtu Kama the weekend pamoja na album take ya after hours inakosaje hata nomination moja...!!!???,wimbo Kama blinding lights inakosaje hata song of the year wakati umedumu top 10 billiboards kwa siku 51 mfululizo.

Na kwa maana hii,ndo maana the weekend amezishutumu,yaani unamuweka Justin bierber afu unamuacha the weekend...?na album yake ya mwaka...?

Justin bieber nae kalalamika eti wamemuweka category ya album Bora ya pop na sio r&b,ashukuru hata hapo maana amebebwa Sana.

Mtu Kama master KG anakosaje hata category moja,afu Burnaboy anapata,au ndo P.Diddy kaonga mkwanja mrefu Sana..?maana nasikia yeye ndo executive producer.

Mtu Kama Diamond Platnumz anakosaje category ya video of the year,wakati sote tunajua kuwa hakuna creative wa video Africa Kama SIMBA,Kama sio huujumu ni nini...!!!???

Mtu Kama Rayvanny unakosaje album of the year globally kwa kitu Cha flowers...!!!???au tatizo connection,lugha,pesa maana kaitendea haki.

Zuchu ameonewa,yaani unachukua best new comer Africa ,afu unakosa nomination hata moja...!!!???

N.B: DIAMOND, RAYVANNY,ZUCHU,THE WEEKND KUKOSA NI FUNZO KUWA KANYE WEST KUZITUPA CHOONI NA KUZIKOJOLEA INAUKWELI KUWA WANAPENDELEA.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Ebu kamanda uwe unatumia akili sometime usiweunalalamika kama wa Kina Alikiba usiwe mtu wa mihemko na ushabiki wa kijinga Huu Uzi wako Hakuna atakae sapoti hata mashabiki wa Diamond wenyewe umeandika pumba Sana.
 
Kila kitu kinazaliwa au kuanzisha basi lazma kiwe na mwisho wake........ninachokiongelea mimi hapa..ni fursa ya kibiashara iliopo kupitia tuzo hapa bongo kwa Sasa kama endapo kutapatikana company kubwa ya kuendesha huo mchongo.....!!!!

Kwenye biashara huwa hatujadili maswala ya kwamba eti hii biashara itakufa tu....kikubwa ni kukamata fursa unayoiona hayo mengine ni unseen future.
Kwa system ya beef na team hapa bongo hiyo ni ngumu Sana kuwin[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom