Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninao mkuu...😂😂Kwani unamwamya mkuu au unataka tu kujua? [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mwangu legend pole sana sana sema kuna msemo nimesoma kw stry yk sijawahi usikia ( mtoto alikuwa anakuwa kwny kiuno duh hatari)...... Mzee wetu alikuwa na kawaida moja, ukitokea msala alafu Mama akaupoza. Hapendagi kumbishia, Ila next time ukiingia kwenye 18 zake atakupa kipigo na cha msala uliopita. So, hiki kipigo kilichokuwa kinaendelea muda huu, ilikuwa ni majumuisho na ule msala wa kuondoka home. Mzee alikua anakaza mikono kadiri anavyokumbuka matukio niliyofanya, ikafika hatua sauti ya Mama nikawa siiskii kabisa, nikaona hapa sasa nakufa. Katika kujitetea ikabidi nimng'ate, nilikaza meno mpaka akaniachia. Kawaida ya mshua akishakuachia, wakati ww unahangaika kuvuta pumzi, yeye anawahi kusimama ili akurushie ngumi za mfululizo. Alivyoniachia tu, sikutaka hata kusubiria, nikatoka nduki, mshua akaunga tela. Tukaanza kufukuzana kuizunguka nyumba. Mama nae kule ndani anafanya kazi ya kuhama madirisha tu, mara yuko dirisha ili, mara lile kutegemeana na sisi tuko upande upi. Round moja tu, Mzee akakaa chini, na Mimi nikatulia upande niliokuwepo kwanza navuta pumzi.
Mzee akaamua kuingia ndani, me nikaenda zangu kuoga then tukarudi kuendelea na kikao Mimi na Yeye. Safari hii Mama hakutaka tuongelee nje tena, tukakaa sebleni. Mama akatuletea chai, tukawa tunakunywa huku tunapiga story sasa.
Mzee ananiuliza "Unakunywa pombe?" Nikajibu hapana."Unavuta bangi?" Nikajibu hapana. "Sasa ilikuwaje ukachukua lile tank? Akili yako ilikua wapi?". Nikakosa jibu la kumpa, nikawa mbali kimawazo. Akaendelea tena"Hivi huu ujasiri uliutoa wapi haswa, mbona hufanani na ndugu zako?" Mama akadakia "Hafananii na ndugu zake, anafanana na wewe, inamaana ushajisahau?" Mzee nae akawaka "Walau Mimi (Mshua) nilichukua mtu wa umri wangu" ( Unajua Bi mkubwa wangu nae amejaa jaa, japo ni mdogo kiumri kwa Baba). Mama nae akamjibu " Swala sio kuchukua wa umri wako, kwani wakati unanifata ulijuaga umri wangu, we siuliangalia kilichokuvutia?. Mwanao ashakuletea mkwe, inabidi umkubali tu"
Lile neno mkwe likaonekana kumkera Mzee. Unajua Mama yetu wala sio mtu wa kukaa na kitu moyoni. Muda huu anajibizana na Mzee, Yeye Mama alikua anatabasamu kabisa, Ila Mzee kakunja ndita. Battle ikatoka kwangu, ikahamishiwa kwa Mama, Mzee akaanza kumwambia Mama yeye ndio chanzo cha yote haya. Mshua akamwambia Mama "Nilikwambia tuzae mapema ukawa unasema tusubirie subirie, matokeo yake mtoto alikuwa anakulia kiunoni, huyu kazaliwa akiwa mtu mzima" Unajua katika familia yetu, watoto waliotangulia wote wamepishana miaka miwili miwili kasoro kaka yangu ninayemfuata amenizidi miaka 7. So alichokuwa anamaanisha Mzee ni kwamba hiyo miaka 7 yote ambayo walikuwa wanasubiria, Mimi nilikua naendelea kukua tu, dah [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Anyway, msala ulikuja ukapoa tukaongea kistaarabu, Ila Mzee alikuwa so disappointed. Akawa ananiambia kuwa anastaili kujifunza toka kwangu maana Mimi ni legend, Nina namna zangu za kurun things ambazo hajawahi imagine.
Alinipa ushauri wake kuhusiana na mambo mbali mbali. Ila katika maongezi nae ndio nikagundua kuwa watu wetu wa karibu huwa wanaumizwa sana na mambo ya ajabu tunayofanya. Ile kauli ya mchuma janga ula na wa kwao, ilidhihirika mbele yangu. Sema kwavile ilishatokea hapakuwa na namna. Kutokana na hiki kisanga Mzee wangu ni mara chache sana kuniita jina langu,mara nyingi ananiita legend. Sipendagi akiniita hivyo, Ila Sina namna ya kumzuia, niliyataka. Mara chache chache huwa ananitania kuhusu yule Maza, now days anachukulia as a joke tu. Ananiambiaga nikiamua kuoa, nisisite kuwajulisha. Ila wao hawatonipush maana wanahofia nisije kuwafanyia surprise nyingine
** ********* ****** ***
Tukafunga huo ukurasa kuhusu mtoto na yule Maza. Ndio tukaanza kuongea kuhusu harakati zangu zingine. Alitaka kujua ilikuwaje tukakutana pale Magingo kwenye soko la tangawizi. Nilimuelezea kwa ufupi mizunguko yangu mpaka kufikia ile siku tunaonana, Yeye akiwa kama Boss, Mimi nikiwa kama kibarua..
Nadhani hayo Sina haja ya kuyaongelea hapa, maana nilishayaelezea kwa urefu sana kwenye ule Uzi safari yangu.
Naitwa Analyse, na hii ndio safari yangu ya maisha...
Nilizaliwa miaka kadhaa iliyopita. Katika familia ya watoto 7, mimi nilikuwa wa 6. Kama watoto walivyo, nilikuwa mtundu kiasi ila sio mtukutu. Nakumbuka nikiwa darasa la 5,niliitwa mbele na ticha nikafanye swali la hesabu. Nikafanya swali kwa mbwembwe, nilikuwa nasumbuliwa na mafua, kabla...www.jamiiforums.com
** ** ***
Kwa sasa dogo alishatoka kwa Dada anaishi kwa Babu na Bibi yake. Yule Maza sina mawasiliano nae, japo kwasasa anaishi nyumbani kwake Kisarawe. Mpaka now inanipaga ukakasi nikiingia kwenye mahusiano kujielezea kuwa nina mtoto, hasa kuepuka swali la mama yake yuko wapi? Kwanini mliachana? Akirudi je? n.k
So, kwa kifupi sipo nae (maana najua ili swali litaulizwa tu). Dogo hajawahi kumuulizia Mama yake, labda kwavile walitengana akiwa mdogo sana so hakupataga ile bond ya Mama. Yule Maza nilishawahi kutana nae mara moja maeneo ya mawasiliano ubungo, tuliongea mawili matatu kuhusu mwanangu, then kila mmoja akaendelea na safari yake. Namba yake ninayo, pia anayo yangu japo hatuna mawasiliano.Huyu Maza hakuwahi kupata mtoto kabla ya huyu, nashangaa kwanini aliamua kumpeleka home kwetu, nilitarajia angemng'ang'ania kama dhahabu, but haikuwa hivyo.
Anyway, hiyo ndio ilikua story yangu. Until next time,
Regards;
Analyse
Hahahaha.....
Hahaha dingi hatari sanaAlaf sio kusema ni mbovu hapana. Mimi mwili wangu ni mdogo, alaf yeye ni mnene na amepanda hewani, alafu mweupe. So mtu yeyote ukimwambia nilikuwa napush ule mwil, ni ngumu kuamini. [emoji28][emoji28][emoji28]
Na wifi kakomaa kuita wifi na mkwe; omba yasikukute 🤣🤣Hahahaha.....
Najaribu kuwaza dada yake na jamaa alivyokuwa anaitwa wifi na mwanamke ambaye ni lika la mama yake mzazi
Hahahaha...afadhali mkwe umekuja
Una majanga weweMzee wangu ni mtu safi sana kuongea nae. Japo Nina cku kama tatu sijaongea nae [emoji28][emoji28]
Ahsante sana kwa stori Legend....... Mzee wetu alikuwa na kawaida moja, ukitokea msala alafu Mama akaupoza. Hapendagi kumbishia, Ila next time ukiingia kwenye 18 zake atakupa kipigo na cha msala uliopita. So, hiki kipigo kilichokuwa kinaendelea muda huu, ilikuwa ni majumuisho na ule msala wa kuondoka home. Mzee alikua anakaza mikono kadiri anavyokumbuka matukio niliyofanya, ikafika hatua sauti ya Mama nikawa siiskii kabisa, nikaona hapa sasa nakufa. Katika kujitetea ikabidi nimng'ate, nilikaza meno mpaka akaniachia. Kawaida ya mshua akishakuachia, wakati ww unahangaika kuvuta pumzi, yeye anawahi kusimama ili akurushie ngumi za mfululizo. Alivyoniachia tu, sikutaka hata kusubiria, nikatoka nduki, mshua akaunga tela. Tukaanza kufukuzana kuizunguka nyumba. Mama nae kule ndani anafanya kazi ya kuhama madirisha tu, mara yuko dirisha ili, mara lile kutegemeana na sisi tuko upande upi. Round moja tu, Mzee akakaa chini, na Mimi nikatulia upande niliokuwepo kwanza navuta pumzi.
Mzee akaamua kuingia ndani, me nikaenda zangu kuoga then tukarudi kuendelea na kikao Mimi na Yeye. Safari hii Mama hakutaka tuongelee nje tena, tukakaa sebleni. Mama akatuletea chai, tukawa tunakunywa huku tunapiga story sasa.
Mzee ananiuliza "Unakunywa pombe?" Nikajibu hapana."Unavuta bangi?" Nikajibu hapana. "Sasa ilikuwaje ukachukua lile tank? Akili yako ilikua wapi?". Nikakosa jibu la kumpa, nikawa mbali kimawazo. Akaendelea tena"Hivi huu ujasiri uliutoa wapi haswa, mbona hufanani na ndugu zako?" Mama akadakia "Hafananii na ndugu zake, anafanana na wewe, inamaana ushajisahau?" Mzee nae akawaka "Walau Mimi (Mshua) nilichukua mtu wa umri wangu" ( Unajua Bi mkubwa wangu nae amejaa jaa, japo ni mdogo kiumri kwa Baba). Mama nae akamjibu " Swala sio kuchukua wa umri wako, kwani wakati unanifata ulijuaga umri wangu, we siuliangalia kilichokuvutia?. Mwanao ashakuletea mkwe, inabidi umkubali tu"
Lile neno mkwe likaonekana kumkera Mzee. Unajua Mama yetu wala sio mtu wa kukaa na kitu moyoni. Muda huu anajibizana na Mzee, Yeye Mama alikua anatabasamu kabisa, Ila Mzee kakunja ndita. Battle ikatoka kwangu, ikahamishiwa kwa Mama, Mzee akaanza kumwambia Mama yeye ndio chanzo cha yote haya. Mshua akamwambia Mama "Nilikwambia tuzae mapema ukawa unasema tusubirie subirie, matokeo yake mtoto alikuwa anakulia kiunoni, huyu kazaliwa akiwa mtu mzima" Unajua katika familia yetu, watoto waliotangulia wote wamepishana miaka miwili miwili kasoro kaka yangu ninayemfuata amenizidi miaka 7. So alichokuwa anamaanisha Mzee ni kwamba hiyo miaka 7 yote ambayo walikuwa wanasubiria, Mimi nilikua naendelea kukua tu, dah [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Anyway, msala ulikuja ukapoa tukaongea kistaarabu, Ila Mzee alikuwa so disappointed. Akawa ananiambia kuwa anastaili kujifunza toka kwangu maana Mimi ni legend, Nina namna zangu za kurun things ambazo hajawahi imagine.
Alinipa ushauri wake kuhusiana na mambo mbali mbali. Ila katika maongezi nae ndio nikagundua kuwa watu wetu wa karibu huwa wanaumizwa sana na mambo ya ajabu tunayofanya. Ile kauli ya mchuma janga ula na wa kwao, ilidhihirika mbele yangu. Sema kwavile ilishatokea hapakuwa na namna. Kutokana na hiki kisanga Mzee wangu ni mara chache sana kuniita jina langu,mara nyingi ananiita legend. Sipendagi akiniita hivyo, Ila Sina namna ya kumzuia, niliyataka. Mara chache chache huwa ananitania kuhusu yule Maza, now days anachukulia as a joke tu. Ananiambiaga nikiamua kuoa, nisisite kuwajulisha. Ila wao hawatonipush maana wanahofia nisije kuwafanyia surprise nyingine
** ********* ****** ***
Tukafunga huo ukurasa kuhusu mtoto na yule Maza. Ndio tukaanza kuongea kuhusu harakati zangu zingine. Alitaka kujua ilikuwaje tukakutana pale Magingo kwenye soko la tangawizi. Nilimuelezea kwa ufupi mizunguko yangu mpaka kufikia ile siku tunaonana, Yeye akiwa kama Boss, Mimi nikiwa kama kibarua..
Nadhani hayo Sina haja ya kuyaongelea hapa, maana nilishayaelezea kwa urefu sana kwenye ule Uzi safari yangu.
Naitwa Analyse, na hii ndio safari yangu ya maisha...
Nilizaliwa miaka kadhaa iliyopita. Katika familia ya watoto 7, mimi nilikuwa wa 6. Kama watoto walivyo, nilikuwa mtundu kiasi ila sio mtukutu. Nakumbuka nikiwa darasa la 5,niliitwa mbele na ticha nikafanye swali la hesabu. Nikafanya swali kwa mbwembwe, nilikuwa nasumbuliwa na mafua, kabla...www.jamiiforums.com
** ** ***
Kwa sasa dogo alishatoka kwa Dada anaishi kwa Babu na Bibi yake. Yule Maza sina mawasiliano nae, japo kwasasa anaishi nyumbani kwake Kisarawe. Mpaka now inanipaga ukakasi nikiingia kwenye mahusiano kujielezea kuwa nina mtoto, hasa kuepuka swali la mama yake yuko wapi? Kwanini mliachana? Akirudi je? n.k
So, kwa kifupi sipo nae (maana najua ili swali litaulizwa tu). Dogo hajawahi kumuulizia Mama yake, labda kwavile walitengana akiwa mdogo sana so hakupataga ile bond ya Mama. Yule Maza nilishawahi kutana nae mara moja maeneo ya mawasiliano ubungo, tuliongea mawili matatu kuhusu mwanangu, then kila mmoja akaendelea na safari yake. Namba yake ninayo, pia anayo yangu japo hatuna mawasiliano.Huyu Maza hakuwahi kupata mtoto kabla ya huyu, nashangaa kwanini aliamua kumpeleka home kwetu, nilitarajia angemng'ang'ania kama dhahabu, but haikuwa hivyo.
Anyway, hiyo ndio ilikua story yangu. Until next time,
Regards;
Analyse
Nilienda tu mwenyewe kuoga, hawakuniambia chochote [emoji28][emoji28][emoji28]Hahaha dingi hatari sana
Nisipojitetea hapa nitakunya tena[emoji1]
Kwa hiyo mkuu harufu ya niniliu baba na mama hawakuisikia ili wakwambie ukaoge/jisafishe?
Kuna washua hawachapi bakora, wao ni vitasa tu [emoji28][emoji28][emoji28]Dah!! Mwanangu we ni msimulizi mzuri kinyama [emoji23][emoji1787]
Umenikunbusha kisa kimoja hivi, enzi hizo nasoma Kurasini shule ya msingi, nilikuwa nina mwanangu kwao keko, dingi yake anapiga kazi bandari, dingi ni mtu fulani yupo simple, dingi kijana, shingoni ana nyororo ya silva, yule mzee kwa masimulizi ya rafiki yangu alikuwa hashiki fimbo kuchapa mtoto ni mabanzi tu, na hata kaka zake huwa anawagonga tu hachagui umri.
Sasa siku hiyo tumetoka kiskuli mie ubao unagonga akaniambia tupitie maskani tukabonyee kisha ndio nipande gari niende home(kigamboni)
Kufika kwao tunamkuta mzee yupo sebuleni kavimba kimtindo, maana hakunichangamkia kiviiile, kama kawaida yake maana alikuwa ananikubali kinyama jinsi ninavyogonga namba(hisabati) nikahisi kuna jambo, tukampa hi, tukaingia sehemu ya kubonyea.
Ghafla tunasikia kamzozo kuchungulia dingi anawaka kinyama, kumbe braza wake mkubwa alizingua siku hiyo. Sikuwahi kumuona yule mzee kavimba kama vile, japo habari zake nilikuwa nazisikia tu. Nikaona hili chezo halinipiti bure, mwanangu nae akawa kasimama tunachungulia kupitia kale kadirisha ka kupitishia msosi. Upande wa pili naona bimkubwa wake yupo anashuhudia mchezo.
Chezo likaanza mzee kaongea maneno mawili matatu, akaweka banzi la kwanza, akaweka banzi jingine, mabannzi mfululizo, braza akaona nitakufa akawa anaona nitakufa bure, akawa anapangua pangua, mzee akawa anapiga anauliza unataka kupigana, akakunja ngumi sasa yule braza sijui bangi nae akakunja, zikapigwa mbili 3, braza akabahatisha mbili, 3 zikawa zimeingia kwa dingi,nikaona leo mzee anaumbuka dingi hakulalamika akajipanga vizuri, ebana eeh, yule mzee vilimtoka vitu, alipiga ngumi mithili ya rashidi matumla kwenye ubora wake, braza mtu akatoa sauti hafifu mama nakufa, sijui alikula gumi la mbavu[emoji23][emoji1787]
Bimkubwa akaona eeh, asiniulie mwanangu, tumbo la uzazi nahisi lilimcheza kidogo[emoji23][emoji38]
Braza kupata upenyo nduki nene, maza analalamila baba nanii utakuja kuniulia mtoto, mzee likamtoka kubwa kum[emoji2959]ko, ina maana unampenda mwanao kuliko mimi, mbona aliponipiga ulikaa kimya[emoji23], mzee akatoka,
Mwanangu anasema jamaa hakurudi ndani ya siku 3, kuja karudi na baba yake mkubwa kusolve lile swala[emoji23]
Mzee alipiga mithili ya mike tyson
Wewe ni kiwembe mno mchumbaMchumba hadi huku upo? Me nilidhan umetekwa na Uzi wa selfika [emoji28][emoji28]