Sad truth watu hujiandaa kwa mambo yajayo, mbona hamuandai misiba yenu?

Binadamu Mtakatifu

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2021
Posts
4,226
Reaction score
8,879
Binadamu kila ahsubuhi huwaza jinsi ya kuifanya future yake kuwa poa

Hujua kuna mambo ya lazima kabisa yatamtokea mf. njaa, kuumwa au kuokota mchumba barabarani n.k

Hujiandaa kwa kutembea na kinga, kuwa na bima na pesa ya kula

Lakini kifo kipo mbele yetu na tunajua ni lazima kije kwanini tusijiandae kama tu tunashindwa kujiandaaa kwa kujitakasa basi tununue
-jeneza
-sanda
Na tibook sehemu ya kuzikwa

Msisumbue watu ikiwezekana weka na bajet hata ya 1M kabisa alafu hapo unahaki ya kula rambirambi zako au kuwaachia watoto
 
Binadamu akifa amekufa tu, mbwembwe za kaburi za nini?

Ukifa unaweza kutupwa porini uliwe na wanyama, au utupwe mtoni uliwe na mamba yote ni maziko.

Si lazima kuvaa sanda wala kuwekwa kwenye jeneza, kuzikwa Kuna namna nyingi mkuu.

Kama ulijiwekea hazina kwa unaowaacha, yaani utu, kujali, kupenda wengine, kuwajibika,basi utazikwa kwa heshima hakuna haja kujiandalia hicho uitacho makao
 
Ukifa, majukumu yako yanakuwa yameisha.

Yaliyobaki, watafanya uliowaacha
 
Sawaaa
Ukifa, majukumu yako yanakuwa yameisha.

Yaliyobaki, watafanya uliowaacha
Sawaa
 
Halaf cha kushangaza mtu anafanya sherehe ya kuzaliwa badala ya kujijengea kaburi
 
Kweli maana mtu anakufa Watu wanaanza kujipa Kazi zinazowazidi uwezo Mara kuchangishana tumzike wapi na mawalama mengi na kukosana juu.
MTU weka plan
Kesho Yako Ni muhimu Sana kuiwazia
 
Wewe umeandaa?

Jamii zinachukulia kama uchuro hivi,si unaona hata ilivyo kwenye kuandika wosia!

Hata hili la kuandika kitabu cha historia ya maisha yako mwenyewe angali upo hai nalo kwa wengine ni mwiko.
 
Halaf cha kushangaza mtu anafanya sherehe ya kuzaliwa badala ya kujijengea kaburi
Kweli
Kweli maana mtu anakufa Watu wanaanza kujipa Kazi zinazowazidi uwezo Mara kuchangishana tumzike wapi na mawalama mengi na kukosana juu.
MTU weka plan
Kesho Yako Ni muhimu Sana kuiwazia
Kabisa
Wewe umeandaa?

Jamii zinachukulia kama uchuro hivi,si unaona hata ilivyo kwenye kuandika wosia!

Hata hili la kuandika kitabu cha historia ya maisha yako mwenyewe angali upo hai nalo kwa wengine ni mwiko.
Kweli kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…