Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
Binadamu kila ahsubuhi huwaza jinsi ya kuifanya future yake kuwa poa
Hujua kuna mambo ya lazima kabisa yatamtokea mf. njaa, kuumwa au kuokota mchumba barabarani n.k
Hujiandaa kwa kutembea na kinga, kuwa na bima na pesa ya kula
Lakini kifo kipo mbele yetu na tunajua ni lazima kije kwanini tusijiandae kama tu tunashindwa kujiandaaa kwa kujitakasa basi tununue
-jeneza
-sanda
Na tibook sehemu ya kuzikwa
Msisumbue watu ikiwezekana weka na bajet hata ya 1M kabisa alafu hapo unahaki ya kula rambirambi zako au kuwaachia watoto