LUCKY BANANA
JF-Expert Member
- Jun 28, 2016
- 461
- 226
anaelewa kiganda tafsiri yake plz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ningeangalia. Kwani jamaa ni kiziwi?Ungekuwa Kiziwi, ungefanyeje ?
Aliandika...ni mapambano ya kawaida ya waafrika..Kwani marehemu hakuandika urithi?
Nahisi atakua msemaji wa familia ya akina Ivan DonMange kimambi
Wakina Esma na mama yake wajipange. Leo kwa Mganda kesho kwa wa Madale
Very sad...but why did they divorce? The don amekufa vibaya sana aisee.. .mali tu zinawatoa roho
acha tu alikuwa na nafasi ya kuwaachia watoto mali bila malumbanoVery sad...but why did they divorce? The don amekufa vibaya sana aisee.. .
Hiyo uchagani mnaitaje?acha tu alikuwa na nafasi ya kuwaachia watoto mali bila malumbano
Kwani alikuwa anajua kuandika?Kwani marehemu hakuandika urithi?
wosiaHiyo uchagani mnaitaje?
"Toka aliyekuwa mume wa Zari kufariki, familia ya Ivan imeingia kwenye vita kali na Zari baada ya kusema kuwa yeye ndio amesababisha ndugu yao akaishi kwa depression kwa muda wote huo. Tazama video
Baba ake Ivan ameeenda mbali zaid na kusema kuwa Zari aliweka kambi hospitali kusubiri tu mtoto wao afe ili ajimilikishe mali. Habari hizo zimemfikia Mange kimambi nae akaamua kuandika haya; Unaambiwa Zari anasema yeye bado ni mke wa Ivan unaambiwa mpaka anasema huyu mtoto wa mwisho Nillah ni wa Ivan huko kwenye vikao vya familia…Lakini to be fair Zari ana haki ya kupewa mali za wanae sasa Hivi sio mpaka wawe wakubwa. Yeye ni mama yao, Ila Zari nae asitake na yeye apewe sabbau alisha move on na life yake,yeye apewe cha watoto basi Na akumbuke kuwa kisheria wazazi wa Ivan na wao wana haki ya kurithi.
Credit:e-pepa.com
Mali ibaki hapo ila wewe nenda tu[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]wosia