Sadaka katika mtazamo wa kiroho

Sadaka katika mtazamo wa kiroho

Kwa maelezo ya maandiko ni kwamba, Mungu alimtoa mwanae wa pekee sadaka ili kutukomboa na dhambi zetu.
Kama Mungu ndiye mkuu wa vitu vyooote ulimwenguni, sifa na ukuu na kila aina ya nguvu ni zake. Sasa alitoa sadaka yake kwa nani!?
Alitoa sadaka ulimwenguni.. Sadaka ni tenda la kiimani na ni tendo la kiroho
 
Sasa kwenye SADAKA anayembariki mtoaji ni yule MPOKEAJI anapo shukuru au ni MUNGU?

Huyu mpokeaji yeye ananafasi gani kwenye hii sadaka? ni myororo tu wa kuwapa BARAKA watoaji?

Kuna MATAIFA tajiri hutusaidia, yani hutoa kwenye sehemu ya Kodi za wananchi wao na kutusaidia sisi, hii nayo sadaka, Je, anayebarikiwa ni TAIFA hilo, au wananchi wake, ama ni kiongozi wa nchi hiyo?

Ni sadaka gani hasa inapokelewa na yenye baraka zaidi?, Nguo, chakula au Pesa?
Misaada si sadaka.. Nimetoa mnyumbuliko wa sadaka ninini na inatolewaje..
Hao wanaosaidia kama hiyo misaada yao haina agenda za siri mbaya chafu nyuma yake hubarikiwa kwa utoaji wao
 
Kwa maelezo ya maandiko ni kwamba, Mungu alimtoa mwanae wa pekee sadaka ili kutukomboa na dhambi zetu.
Kama Mungu ndiye mkuu wa vitu vyooote ulimwenguni, sifa na ukuu na kila aina ya nguvu ni zake. Sasa alitoa sadaka yake kwa nani!?
Kwa maelezo ya maandiko ni kwamba, Mungu alimtoa mwanae wa pekee sadaka ili kutukomboa na dhambi zetu.
Kama Mungu ndiye mkuu wa vitu vyooote ulimwenguni, sifa na ukuu na kila aina ya nguvu ni zake. Sasa alitoa sadaka yake kwa nani!?
1)Ulimwengu wote ikiwemo dunia na vyote viujazavyo na wote wakaao ni mali ya Mungu.Vyote tunavyomtelea Mungu sadaka hata na sisi wenyewe hata na shetani wanyama fedha ,dhahabu name any vyote ni mali ya Mungu.
2)Sadaka walizotoa agano la kale kabla ya fedha sadaka za damu za wanyama dhabihu ,ambapo Mungu alimjaribu Ibarhimu akamwambia amtoe sadaka mwanaye isaka baadae akamleta mnyama au kwa kifupi hivi vitu tunavyomtolea Mungu sadaka kama wanyama mali n.k ni mali ya Mungu.Tunamtolea sehemu ndogo ya vitu Mungu alivyotupatia.
3)Sadaka za damu za wanyama fedha bado hazikuwa na nguvu ya kutosha kuleta uzima damu ya Yesu ina nguvu kuliko sadaka zote.Tofauti na sadaka nyingine UZIMA ukombozi njia na daraja la sisi wanadamu ulimwengu wote sadaka moja ya Yesu inauwezo wa kukomboa ULIMWENGU MZIMA milele pasipo ukomo wala mipaka,DARAJA la kutuunganisha na Mungu ni kupitia YESU.
4)Mungu alimtoa sadaka Yesu mwenye damu yenye uzima kwa sababu nilizozitaja hapa juu,kama alivyomtoa mnyama kwa ibrahimu ili awe sadaka,yani sadaka za sisi kumtolea Mungu
5)HITIMISHO yani YESU amefanyika sadaka kwa ajili yetu yani sisi ULIMWENGU tulipaswa kutoa sadaka lakini yeye Mungu amemtoa Yesu afanyike sadaka kwa ajili yetu kwa upendo kwa sababu Mungu anatupenda anataka tupate uzima,tusipotee,tufike mbinguni kupita Yesu.Na hii sio mara ya kwanza Mungu alimpa Ibrahimu mnyama badala ya ibrahimu kumchinja mwanaye ,lakini tofauti sadaka ya Yesu ni kubwa na ina nguvu milele na milele kwa ulimwengu mzima.
KWA KIFUPI ZAIDI
sisi binadamu hatuna cha kwetu tunachomiliki ila vyote hata sisi wenyewe ni mali ya Mungu hata sadaka tunazotoa ni sehemu ya mali ya Mungu alivyotupa.Sasa SADAKA ya Yesu Mungu amemfanya Yesu akamtoa awe sadaka kwa ajili yetu.Huko nyuma Mungu aliwahi kumpa Ibrahimu sadaka ya mnyama ili amfanye sadaka mnyama badala ya mwanaye ibrahimu isaka.
 
Misaada si sadaka.. Nimetoa mnyumbuliko wa sadaka ninini na inatolewaje..
Hao wanaosaidia kama hiyo misaada yao haina agenda za siri mbaya chafu nyuma yake hubarikiwa kwa utoaji wao
Shukrani,Lakini, Umejibu nusu, Ikiwa Taifa linatoa sadaka, watoaji na watu wote wa taifa lile, kama ilivyo wapokeaji sisi huwa ni Taifa la Tanzania. Je, Baraka huenda kwa kiongozi wa taifa liliotoa au wananchi wake? Wapokeaji huwa tunajali agenda za mtoaji, au tunataka pesa kukidhi shida zetu tu?

Pesa za miradi nyingi hutolewa na nchi wahisani, Tanzania haiwataji wahisani inasema ni Serikali ya mama, wapokeaji tunaambiwa tumshukuru SSH, lakini ukweli hauko hivyo, hapo tunakosea tunapomshukuru, mtoaji fake? na vipi baraka zinamfikia mtoaji?
 
Nimekupata vema sasa.. Hizi ni siasa tu zisizo na uhalisia sala uhalali wowote kwenye dhana nzima ya utoaji
 
IMG-20250111-WA0029.jpg
 
Back
Top Bottom