Shukrani,Lakini, Umejibu nusu, Ikiwa Taifa linatoa sadaka, watoaji na watu wote wa taifa lile, kama ilivyo wapokeaji sisi huwa ni Taifa la Tanzania. Je, Baraka huenda kwa kiongozi wa taifa liliotoa au wananchi wake? Wapokeaji huwa tunajali agenda za mtoaji, au tunataka pesa kukidhi shida zetu tu?
Pesa za miradi nyingi hutolewa na nchi wahisani, Tanzania haiwataji wahisani inasema ni Serikali ya mama, wapokeaji tunaambiwa tumshukuru SSH, lakini ukweli hauko hivyo, hapo tunakosea tunapomshukuru, mtoaji fake? na vipi baraka zinamfikia mtoaji?