Alitoa sadaka ulimwenguni.. Sadaka ni tenda la kiimani na ni tendo la kirohoKwa maelezo ya maandiko ni kwamba, Mungu alimtoa mwanae wa pekee sadaka ili kutukomboa na dhambi zetu.
Kama Mungu ndiye mkuu wa vitu vyooote ulimwenguni, sifa na ukuu na kila aina ya nguvu ni zake. Sasa alitoa sadaka yake kwa nani!?
Misaada si sadaka.. Nimetoa mnyumbuliko wa sadaka ninini na inatolewaje..Sasa kwenye SADAKA anayembariki mtoaji ni yule MPOKEAJI anapo shukuru au ni MUNGU?
Huyu mpokeaji yeye ananafasi gani kwenye hii sadaka? ni myororo tu wa kuwapa BARAKA watoaji?
Kuna MATAIFA tajiri hutusaidia, yani hutoa kwenye sehemu ya Kodi za wananchi wao na kutusaidia sisi, hii nayo sadaka, Je, anayebarikiwa ni TAIFA hilo, au wananchi wake, ama ni kiongozi wa nchi hiyo?
Ni sadaka gani hasa inapokelewa na yenye baraka zaidi?, Nguo, chakula au Pesa?
Kwa maelezo ya maandiko ni kwamba, Mungu alimtoa mwanae wa pekee sadaka ili kutukomboa na dhambi zetu.
Kama Mungu ndiye mkuu wa vitu vyooote ulimwenguni, sifa na ukuu na kila aina ya nguvu ni zake. Sasa alitoa sadaka yake kwa nani!?
1)Ulimwengu wote ikiwemo dunia na vyote viujazavyo na wote wakaao ni mali ya Mungu.Vyote tunavyomtelea Mungu sadaka hata na sisi wenyewe hata na shetani wanyama fedha ,dhahabu name any vyote ni mali ya Mungu.Kwa maelezo ya maandiko ni kwamba, Mungu alimtoa mwanae wa pekee sadaka ili kutukomboa na dhambi zetu.
Kama Mungu ndiye mkuu wa vitu vyooote ulimwenguni, sifa na ukuu na kila aina ya nguvu ni zake. Sasa alitoa sadaka yake kwa nani!?
Shukrani,Lakini, Umejibu nusu, Ikiwa Taifa linatoa sadaka, watoaji na watu wote wa taifa lile, kama ilivyo wapokeaji sisi huwa ni Taifa la Tanzania. Je, Baraka huenda kwa kiongozi wa taifa liliotoa au wananchi wake? Wapokeaji huwa tunajali agenda za mtoaji, au tunataka pesa kukidhi shida zetu tu?Misaada si sadaka.. Nimetoa mnyumbuliko wa sadaka ninini na inatolewaje..
Hao wanaosaidia kama hiyo misaada yao haina agenda za siri mbaya chafu nyuma yake hubarikiwa kwa utoaji wao
Pesa za miradi nyingi hutolewa na nchi wahisani, Tanzania haiwataji wahisani inasema ni Serikali ya mama, wapokeaji tunaambiwa tumshukuru SSH, lakini ukweli hauko hivyo, hapo tunakosea tunapomshukuru, mtoaji fake? na vipi baraka zinamfikia mtoaji?Shukrani,Lakini, Umejibu nusu, Ikiwa Taifa linatoa sadaka, watoaji na watu wote wa taifa lile, kama ilivyo wapokeaji sisi huwa ni Taifa la Tanzania. Je, Baraka huenda kwa kiongozi wa taifa liliotoa au wananchi wake? Wapokeaji huwa tunajali agenda za mtoaji, au tunataka pesa kukidhi shida zetu tu?
Pesa za miradi nyingi hutolewa na nchi wahisani, Tanzania haiwataji wahisani inasema ni Serikali ya mama, wapokeaji tunaambiwa tumshukuru SSH, lakini ukweli hauko hivyo, hapo tunakosea tunapomshukuru, mtoaji fake? na vipi baraka zinamfikia mtoaji?