Blockchain
JF-Expert Member
- Feb 27, 2026
- 947
- 2,669
Haitakiwa kuliwaUkimaliza kuchinja nyama yake unakula?
Haitakiwa kuliwaUkimaliza kuchinja nyama yake unakula?
Kwa dhana gani?Njooo uniue mie basi ..
Uanze fanya zoezi
Inapelekwa wapi nyama yake?Haitakiwa kuliwa
Kafara ni fidia
Vitasa tu vinatosha kukatisha motoKwa dhana gani?
Sumu ?
Panga?
Kisu?
Nikunyonge?
Au vitasa mpka ukate moto
Kuna mawili, inazikwa, na kama ikitolewa kama kuwa sadaka iwa watu ina trap nyota za watu, sio vizuri kula makafaraInapelekwa wapi nyama yake?
Mbona umechagua njia ngumuVitasa tu vinatosha kukatisha moto
Ni hatariKuna mawili, inazikwa, na kama ikitolewa kama kuwa sadaka iwa watu ina trap nyota za watu, sio vizuri kula makafara
hiyo ni nzuri kabisa fanya namna uje ujifunzeMbona umechagua njia ngumu
Ulimwengu wa roho na mambo yake yanatisha na hasa watu wasipokuwa makini wanaenda na mitego ya waovuNi hatari
Imani potofuwakati unamchinja sema maneno machache tuView attachment 3568207
Vipi kuhusu yule Mjusi mwingine,Siwezi hata kuua mjusi akhu mie🏃♂️
ila sisimizi tayariSiwezi hata kuua mjusi akhu mie🏃♂️
Inaweza kua kwa bahati mbayaila sisimizi tayari
HahahahaMkuu utafanya tuongeze janga jingine kitaifa bado hatujapona na ili la nyeti
Halafu ujuwe wewe ni Platinum 😂Vipi kuhusu yule Mjusi mwingine,
Na yeye unamuogopa?
Ni Mjusi SharobaloHalafu ujuwe wewe ni Platinum 😂
Hivi kwanza ni mjusi gani?