Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kasoro tu tuzo ndo imemshinda kuiba
Kamsaidie kumuibia tuzo ya BET kwa burna boy [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama uendi kwenye clubs huwezi kuelewa. Lakini mimi nawaambia, hilo goma sijui Kamata ndio linaenda kuwa dance floor anthem of 2021. Huyo jamaa anajua anafanya nini. Sio kubana pua tu. Huyo anapagawisha
kweli bro sisi watu wa club ndiyo tunaelewa hasa nini diamond anafanya? Kuna binti mmoja naona anateseka sana na mchizi Mond.Kama uendi kwenye clubs huwezi kuelewa. Lakini mimi nawaambia, hilo goma sijui Kamata ndio linaenda kuwa dance floor anthem of 2021. Huyo jamaa anajua anafanya nini. Sio kubana pua tu. Huyo anapagawisha
Kamsaidie kumuibia tuzo ya BET kwa burna boy [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Poleeh kwa kuteseka. Lol
Basi sawa kuwa mpoleeeh. [emoji23][emoji23][emoji23]All the nominees are winners, but Burna Boy represented Africa very good. Hate can't help anything in a building a good society. Labda ingia deep kwenye hotuba fupi ya Burna Boy wakati anapokea tuzo ndio utaelewa
hii hata sio kucopy.
Hapa Kiba kakosea. Badala ajipake rangi za kiume kama wenzake yeye akaamua kujipaka lipstick ya pink 😄😄
Kwani hata mimi siwezi kulala na wanawake kama alivyo lala nao Burnaboy, unaweza ukakuta huyo Burna nae kamuiga Chief Mswati.hii hata sio kucopy.
pale kwa masai sadal amecopy ubunifu.
hapa kwa kiba amevaa mavazi ambayo ni ya jeshi hata Wenge BSBG wamevaa sana hata mimi navaa, hapa hakuna ubunifu uliokua copied.
Me Mmasai bana nasema Me Mmasai.Kwani hata mimi siwezi kulala na wanawake kama alivyo lala nao Burnaboy, unaweza ukakuta huyo Burna nae kamuiga Chief Mswati.
MTV Africa, Channel 0 n.kKilli music awards?
Ni kitu najivunia Masai fahari yanguMe Mmasai bana nasema Me Mmasai.
Sasa ile video na ya East Coast team "ama zangu ama zao zinatofauti gani ",au ndio mahaba.Me Mmasai bana nasema Me Mmasai.
Majungu si mtaji ila ndo inafanya watu waishi mjiniSorry...hivi haya mambo yanawasaidia kweli? Wengine mpaka wanajiita CHAWA...kuna faida kweli sababu naona uyo diamond anazidi kupata mpunga tu
Joseph hii coment anajifanya haioni,.Kijana wetu kuna page imempasua kwa kujikweza utajiri kumbe anapiga saa fake ,
Be humble, haya ndio mambo yanachangia Mpaka kushabikia madikteta ili ku maintain maisha ya juu kumbe unaweza kuishi kawaida na watu bado wakakuheshimu
View attachment 1835608
View attachment 1835609
Duuuh, khaaaaaa!!!?Lishamba sana hili jamaa.
Nyie hata mkiambiwa kitu gani -ve lazima mkubali, sasa nikuulize vigezo gani alivyo vitumia kusema saa hiyo ni fake?Joseph hii coment anajifanya haioni,.
Hujaona vigezo jamaa alivyoviweka hapo au unajitia upofu,Nyie hata mkiambiwa kitu gani -ve lazima mkubali, sasa nikuulize vigezo gani alivyo vitumia kusema saa hiyo ni fake?
Sometimes inabidi tuwakubalie kuwaridhisha, so tufanye Sadala kavaa saa fake, basi hapo roho yako kwatu.