Sadala (Diamond) ka-copy tena jamani

Sadala (Diamond) ka-copy tena jamani

Kama uendi kwenye clubs huwezi kuelewa. Lakini mimi nawaambia, hilo goma sijui Kamata ndio linaenda kuwa dance floor anthem of 2021. Huyo jamaa anajua anafanya nini. Sio kubana pua tu. Huyo anapagawisha
 
Kamsaidie kumuibia tuzo ya BET kwa burna boy [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Poleeh kwa kuteseka. Lol
 
kweli bro sisi watu wa club ndiyo tunaelewa hasa nini diamond anafanya? Kuna binti mmoja naona anateseka sana na mchizi Mond.
 
Kamsaidie kumuibia tuzo ya BET kwa burna boy [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Poleeh kwa kuteseka. Lol

All the nominees are winners, but Burna Boy represented Africa very good. Hate can't help anything in a building a good society. Labda ingia deep kwenye hotuba fupi ya Burna Boy wakati anapokea tuzo ndio utaelewa
 
Basi sawa kuwa mpoleeeh. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
hii hata sio kucopy.

pale kwa masai sadal amecopy ubunifu.
hapa kwa kiba amevaa mavazi ambayo ni ya jeshi hata Wenge BSBG wamevaa sana hata mimi navaa, hapa hakuna ubunifu uliokua copied.
Kwani hata mimi siwezi kulala na wanawake kama alivyo lala nao Burnaboy, unaweza ukakuta huyo Burna nae kamuiga Chief Mswati.
 
Kijana wetu kuna page imempasua kwa kujikweza utajiri kumbe anapiga saa fake ,

Be humble, haya ndio mambo yanachangia Mpaka kushabikia madikteta ili ku maintain maisha ya juu kumbe unaweza kuishi kawaida na watu bado wakakuheshimu

IMG_1687.jpg

IMG_1686.jpg
 
Joseph hii coment anajifanya haioni,.
Nyie hata mkiambiwa kitu gani -ve lazima mkubali, sasa nikuulize vigezo gani alivyo vitumia kusema saa hiyo ni fake?

Sometimes inabidi tuwakubalie kuwaridhisha, so tufanye Sadala kavaa saa fake, basi hapo roho yako kwatu.
 
Hujaona vigezo jamaa alivyoviweka hapo au unajitia upofu,
 
Back
Top Bottom