SADC ina faida gani kwa nchi yetu?

SADC ina faida gani kwa nchi yetu?

Tatizo wajasiriamali wachache sana ama hawapo hapa nchini ndio kufikia kuongea hivi

Development communities kama SADC ni muhimu sana kwa wazalishaji kwa ajili ya soko
 
Sio SA pekee yake,ni nchi zote za SADC uki-import

Nikusaidie?

Nenda TIC apply for SADC import exemption certificate,ukiwa nayo hulipo kodi popote mshua

Import hata mbuzi toka Namibia,etc,hulipi kitu
Hii imekaa poa sana.
 
Back
Top Bottom