SADC yapinga sheria mpya ya Marekani kuhusu uhusiano wa Afrika na Urusi

Mkuu humo yumo SA ilo tulilitegemea.Na Ukiona hivyo tayari wameomba mzigo wa mbolea na Wese.Wakati huu ni wakuacha kila mmoja apite njia yake.
soon mtarud west mkiomba misaada , somo la maslai kwa waafrika lipo chini sana , majiran wa urusi wanamkimbia hlf sisi waafrika ndo tunamkimbilia
 
Afrika tumeshachelewa kuvimbiana na mataifa ya magharibi......haya mambo wao waliyawaza miaka mingi nyuma ndio tunashtuka Leo.......Hizo kauli haziakisi utashi wa nafsi zao...
 
Jakaya Kikwete kala shavu tena. Hongera Mzee wetu.
 
Marekani anajikuta nani sijui! ni muda wa kila mtu kusimama kama mwanaume na kuamua maamuzi yako na sio kuambiwa nini cha kufanya na mwanaume mwenzako.

ебать америка.
Ukiona umoja dhaifu kama huu hapa duniani Sadec umeanza kupinga matakwa ya USA ujue tayari ushawishi wake umefukia kikomo.
Russia kaweza kupindua meza.

Kwa hiyo North America watafuata,Asia na hatimae Arabs.
 
Ukiona umoja dhaifu kama huu hapa duniani Sadec umeanza kupinga matakwa ya USA ujue tayari ushawishi wake umefukia kikomo.
Russia kaweza kupindua meza.

Kwa hiyo North America watafuata,Asia na hatimae Arabs.
wenzio wanapigania maslai nyiny akili zimekaa kimipasho , angalia wanaomuunga mkono Urusi ni wale wenye maslai binafs kwenye ukanda wao mf Brazil , SA , Iran , India , China , N.Korea nk haya mataifa wala hayajali haki na usawa wanajua anachofanya Urusi ni kosa ila wanangalia maslai yao kwanza , sisi ni host na tunajichagulia tuliwe na nan ! ( hapa ndipo nawadharau waafrika hii likuwa fursa ya kuwabana west na kusigb nao mikataba yenye maslai kwetu badala yake tunaenda kwa wenye njaa ambao watatubana kama hawa tunaowakimbia , mataifa yenye akili yana anza kufanya biashara kwa mikataba yenye utashi kwao pia maana wkt huu wazungu hawawez kuleta janja janja. Afrika bado tunahitaj miaka 100 mingine tutawaliwe tukipewa tena uhuru tutakuwa na akili kichwan
 
Fafanua tafadhali.
alie chin akupandish juu , hao uchina na urusi waliish vzr na walio juu ndo wakapanda mpk hapo walipo , waafrika kweny huu mgogoro hatujui kwann tupo upande wa Urusi
 
Ungetoa swahili version Mkuu, ili tukienda US wakatuuliza na sisi tupite mlemle tusitofautiane na wakuu wetu
 

Ni kweli kabisa kwamba kipindi hiki tunaweza kuwa na upper hand when negotiating with the west. Lkn suala la kuleta sheria isiyo na maana, kwamba ukifanya ushirikiano na Urusi katika maeneo fulani, vikwazo vinakuhusu, hilo siyo la kulifumbia macho. Tunapaswa tueleze wazi kutoridhika na hilo bila kupepesa macho.
 
Acheni kuwa omba omba kwanza, huwezi kuwa unatembeza bakuli kuomba halafu unajipiga kifua kuwa wewe ni mwanaume mwenye maamuzi yako yoyote hata yasio na akili.
Marekani anajikuta nani sijui! ni muda wa kila mtu kusimama kama mwanaume na kuamua maamuzi yako na sio kuambiwa nini cha kufanya na mwanaume mwenzako.

ебать америка.
 
Viongozi wa afrika wengi demokrasia sio kipaumbele chao,wanamuunga mkono urusi kwa faida za kisiasa kuliko kiuchumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…