Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
Sadam Hussein hakuwa mbaya kama tulivyo aminishwa , hizo ni propaganda za wazungu tu wakiamua kumchafua wasiyemtaka na ndioomaana hata pale Iraq alikuwa anakubalika na Raia wengi tu , ni sawa na Idi amini wa Uganda historia inamuandika kama mtu mbaya sana katili hilarious ni tofauti sana na hata wa Uganda wanaona ndiye Rais wao bora wa muda wote .Una overlook mambo. Infact Sadam ndiye mwasisis wa kinachotokea sasa hivi. Angekuwa ameruhusu utawala wa demokrasia tangu mwanzo, nchi ingetulia. Nchi yoyote inayoongozwa kwa kutumia nguvu badala ya ushawishi ili kuleta utulivu, inahitajika cheche ndogo sana kuifanya iingie kwenye chaos. Angalia mifano ya nchi nyingi zilizoingia kwenye machafuko kwa sababu tu udikteta uli-collapse. Hata Soviet Union ya zamani ilikuwa na utulivu wa ki-diktekta na ukomunist ulipo-collapse kukatokea majanga mengi na kuna nchi zina vita mpaka leo.
Huyu wa kwetu ni dikteta mwenye hasara.Amemuua polepole,mzee kibao,ben saanane,alphonce mawazo,kijana yule alichoma picha yake na wengine wengi.Huyu wa kwetu udkteta anaweza kulingana na Adolf hitler au benito mussolin.Lakini tutamwadabisha siku tutakayofanya maandamano awamu ya pili ambayo yatakuwa mara tano ya mo29 ambayo yatafanyika siku ya ufunguzi wa afcon.Nilikutana na makala moja mtandaoni iliyokuwa inazungumzia utawala wa Sadam hussein , makala hiyo imenikumbusha mambo mengi ya Sadam hussein aliyekuwa kiongozi wa Iraq
Jamaa kitu kikubwa kilichomfanya awe adui wa Marekani ni kwasababu alikosa utii na unyenyekevu kwa Marekani , marekani wakamfanya adui yao wakamfanyia figisu na mizengwe ya kila aina mpk wakafanikiwa kuuangusha utawala wake ila jamaa alikuwa mwamba kweli kweli mpk alivyofikishwa mahakamani alibaki na msimamo wake ule ule
Iraq iliyokuja baada ya utawala wa Sadam hussein haitawaliki tena nchi imeoza haifai ndio kama kilicho tokea Libya kwa Gadafi
Kuna nchi zinahitaji viongozi ma dikteta wenye faida ili ziende
Sadam Hussein niliona kwenye makala alikuwa akiingia kwenye ukumbi wa mikutano hakuna mtu aliyekuwa anathubutu kukohoa au hata kupiga chafya , alikuwa akiku point utoke nje ya ukumbi ujue umekwisha
Nipe mfano wa Nchi ya Middle East yenye Demokrasia na Maendeleo,Una overlook mambo. Infact Sadam ndiye mwasisis wa kinachotokea sasa hivi. Angekuwa ameruhusu utawala wa demokrasia tangu mwanzo, nchi ingetulia. Nchi yoyote inayoongozwa kwa kutumia nguvu badala ya ushawishi ili kuleta utulivu, inahitajika cheche ndogo sana kuifanya iingie kwenye chaos. Angalia mifano ya nchi nyingi zilizoingia kwenye machafuko kwa sababu tu udikteta uli-collapse. Hata Soviet Union ya zamani ilikuwa na utulivu wa ki-diktekta na ukomunist ulipo-collapse kukatokea majanga mengi na kuna nchi zina vita mpaka leo.
Elewa hoja usiandike tu kiushabiki ili tu uonekane mwerevu sana , point yangu ni kwamba alikuwa nchi ameiweza kuitawala kama kiongozi hakuna aliyekuwa anadharau mamlaka au kuleta ujuaji mbele yakeKwahiyo kwasasabu watu walikuwa hawakooi akiwa kwenye mkutano basi alikuwa na faida kwa nchi!? Mbona una utoto mwingi sana!
Mbona nchi za ulaya ni za kidemokrasia ni zina maendeleoElewa hoja usiandike tu kiushabiki ili tu uonekane mwerevu sana , point yangu ni kwamba alikuwa nchi ameiweza kuitawala kama kiongozi hakuna aliyekuwa anadharau mamlaka au kuleta ujuaji mbele yake
Hio ni tofauti sana kwa nchi za kiarabu , haihitajiki tu demokrasia unahitajika uongozi imara unaoweza kujibu kwa makali kupambana na makundi ya kigaidiMbona nchi za ulaya ni za kidemokrasia ni zina maendeleo
Nchi za South Korea na Japan mbona ni za kidemokrasia na zina maendeleo.
Asante sana kwa kuliona hili. Kisehemu nilichoweka kwenye nyekundu umekiandika wewe na ndiyo maana halisi ya demokrasia. Yaani wananchi wakubaliane na mfumo. Kwa kifupi demokrasia siyo lazima iwe ya vyama vingi au kuwe uchaguzi kwa kutumia njia za maboksi ya kura. Na ndipo hili bandiko lilipokosea. i.e. kusema kuna nchi zinahitaji kuendeshwa kwa udikteta. Ukishesema tu udikteta ina maana matakwa ya wananchi yamepuuzwa. Kwa kifupi zipo namna nyingi za demokrasia na wananchi ndiyo waamuzi.Cha muhimu Nchi iwe na mfumo unaokubalika na wananchi na Serikali iwatumikie wananchi, hakuna mfumo mmoja unaoweza leta maendeleo Dunia nzima.
Tafadhali usinichonganishe na Serikali ya malawiMinaona unazunguka saaaaana mkuu....
Ebu sema unachotaka kusema tu, maana watu wazima tumesha elewa unaetaka kumzungumzia hapa malawi 🇲🇼
Hoja ina uzitoAsante sana kwa kuliona hili. Kisehemu nilichoweka kwenye nyekundu umekiandika wewe na ndiyo maana halisi ya demokrasia. Yaani wananchi wakubaliane na mfumo. Kwa kifupi demokrasia siyo lazima iwe ya vyama vingi au kuwe uchaguzi kwa kutumia njia za maboksi ya kura. Na ndipo hili bandiko lilipokosea. i.e. kusema kuna nchi zinahitaji kuendeshwa kwa udikteta. Ukishesema tu udikteta ina maana matakwa ya wananchi yamepuuzwa. Kwa kifupi zipo namna nyingi za demokrasia na wananchi ndiyo waamuzi.
Yupo Papa rais wa VaticanHivi kuna rais/kiongozi dunia hii ambaye si dikteta?
NdiyoHivi kuna rais/kiongozi dunia hii ambaye si dikteta?
Sawa mkuu, nimekuelewa usije ukapotezwa...😜Tafadhali usinichonganishe na Serikali ya malawi
Alikuwa dikteta mbaya na waliongezea kwa kumchafua piaSadam Hussein hakuwa mbaya kama tulivyo aminishwa , hizo ni propaganda za wazungu tu wakiamua kumchafua wasiyemtaka na ndioomaana hata pale Iraq alikuwa anakubalika na Raia wengi tu , ni sawa na Idi amini wa Uganda historia inamuandika kama mtu mbaya sana katili hilarious ni tofauti sana na hata wa Uganda wanaona ndiye Rais wao bora wa muda wote .
Waarabu Waislamu hawako compatible na demokrasia, kwa kiasi kikubwa ni vigumu demokrasia kufanya kazi katika nchi za Waislamu watupu kwa sababu kuna mambo mengi demokrasia inapingana na Uislamu. Hata mfumo wa utawala kama wa China ni vigumu kufanya kazi kwenye nchi za Waislamu wengi kwa sababu uko ki secular zaidi.Nipe mfano wa Nchi ya Middle East yenye Demokrasia na Maendeleo,
Mfano Mzuri Angalia hapo North Africa, Tunisia wanakua regarded kama Nchi yenye Demokrasia zaidi Middle East na North Africa, ila maendeo Yao still hayafikii the likes of Algeria na Morocco, watu wale wale, geography Ile Ile, resource zile zile.
Same kwa Asia kuna kanda kibao the so called democratic countries ni upuuzi mtupu, Pakistan huwezi ifananisha na Iran, India Huwezi fananisha na China etc.
Cha muhimu Nchi iwe na mfumo unaokubalika na wananchi na Serikali iwatumikie wananchi, hakuna mfumo mmoja unaoweza leta maendeleo Dunia nzima.
Kuna tatizo gani kudharau mamlaka au kuleta ujuaji mbele ya Rais wa nchi??Elewa hoja usiandike tu kiushabiki ili tu uonekane mwerevu sana , point yangu ni kwamba alikuwa nchi ameiweza kuitawala kama kiongozi hakuna aliyekuwa anadharau mamlaka au kuleta ujuaji mbele yake