Saddam Hussein alikuwa ni Dikteta mwenye faida kwa nchi yake

Aliwai kumuadabisha mtoto ake mmoja kati ya UDAY AMA QUSAY..

Watoto wake walikua very notorious huwezi amini

Ila jamaa alikuaga very humble na alikua ni mwenye UTU SANA SANAAAAAA
He was a mafia . Kuna hostages flani wa US aliwakamata , serikali ya Marekani hawakuweza kumshawishi awaachie ikabidi Muhammed ali bondia ndo aende kumuomba awaachie ndo akamsikiliza
 
Hii haipaswi kuwa hivi, hata kama utaleta maendeleo mara milioni lakini haipaswi kuminya wengine na kunyima fursa za watu kuwa huru kutoa maoni au kukukosoa unapokosea, kumbuka hakuna binadamu aliye mkamilifu, hakuna aliye na hati miliki ya nchi
Ni kweli uonevu hautakiwi ila pia mamlaka ziheshimiwe , maoni ya tolewe kwa busara
 
Mfano kama kiongozi ni mla rushwa, fisadi na nepotistic aambiwaje kwa busara?
Braza unaelewa mazingira yetu ya ki Afrika sitaki kufunguka sana , haitakiwi kumwaga mchele kwenye kuku wengi
 
Namkubali tu Sadamu, si Kwa sababu alikuwa amefanya mazuri, la hasha!
 
Sadam Hussein alizidi Yule, Yani ukishaanza kutumika na US kuwa kinga ya mambo Yake basi kuna siku itatokea lazima mambo yakuendee kombo au ugombane na US then atakumaliza Tu...

Sadam aliua mamilioni ya watu wasio na hatia, Sadam Kwa kiasi Fulani alitumika na US kwenye vita ya miaka nane na Iran , Sadam aliua wakurdishi makumi Kwa maelfu, Sadam alitumia chemical weapons 1988 kuua watu wake mwenyewe na US akamkingia kifua Umoja wa mataifa. Sadam Hussein aliivamia Kuwait kwasababu za kipuuzi kabisa. Kuwait ilikuwa inamdai Iraq billions of dollars kwasababu ya vita Yake na Iran.

Sadam Hussein alikuwa dikteta uchwara kama kina Mobutu...
 
Madhara ya kuiminya demokrasia kwenye nchi yeyote Dunia ni pale atokee kiongozi asiyefaa , faida ya kuiminya demokrasia ni pale kiongozi wa juu akiwa full package
Hakuna kiongozi ambae ni full package.
VIongozi ni watu, na watu wana mapungufu.
sasa ukimpa mtu mamlaka yote madhara lazima yatokee tuu.
 
Huelewei unachosema, hata hizo nchi za middle east hazina population kubwa huku zikiwa na ukwasi wa mafuta na gesi, watawala wa Gulf states (GCC) wanachota pesa wanavyotaka wanaweka kwenye akaunti zao binafsi na bado zinabaki pesa nyingi sana za kufanya maendeleo na kuwafanya raia wasilipe kodi. Kenya haina utajiri wowote mkubwa wa rasilimali, kiongozi akiiba hata kidogo tu lazima pengo lionekane.
Wala usiende huko, naongelea hizi Nchi zetu ambazo zimeanza kujitafuta, mfano hapo Morocco ama Algeria, Morocco Extreme poverty ni chini ya Asilimia moja sio matajiri kama Gulf ila ukicompare na Nchi za Africa wapo vizuri, na kwanini Tunisia majirani zao ambao wanafanana kila siku umasikini na Njaa vinaongezeka? Tunisia Nchi ya watu Milioni 12 watu Milioni 1.5 wanakabiliwa na Njaa Even though uchumi wao hautofautiani Sana na Morocco. Ni mfumo gani huu unasabanisha wenye nacho waendelee kupata na wasio nacho waendelee kukosa, Mimi na wewe wote tunaujua Ila tunajiziba Tu macho.

Na hizo Nchi za gulf still mfumo ni mzuri kwenye Kutoa umasikini, na sio rahisi kumanage hizo Rasilimali kama unavyofikiria, nenda kasome "Dutch disease" uone Nchi kubwa kama Netherland kugundua Tu gesi kulivyolitereresha Taifa, it took Mwarabu toka Iraq kwenda Norway kureplicate mifumo ya waarabu na kuziokoa Nchi nyingi za Ulaya na hizo "Resource curse" mpaka Leo sidhani kama kuna MTU katoboa bila kupitia hizo formula za Gulf.
 
Africa nchi za demokrasia halisi ni chache sana. Ni Botswana, South Africa, Namibia, Mauritius, Ghana, Kenya, Cape Verde na Senegal.
Achana na hivyo visiwa ambavyo ni vidogo kuliko hata Znz angalia South Africa kuna umasikini wa Kutosha, Botswana Wana Umasikini wa kutisha, Kenya Wana Umasikini wa kutisha, Namibia ndio usiseme, Nchi zote hizo kasoro Kenya ni nchi Tajiri Sana Ila mifumo inaruhusu wanyonywe. Ghana wanajitahidi Ila still nao ni Kenya iliochangamka hao Senegal ndio usiseme, kwanini hizi Nchi machampion wa Demokrasia wote wanashindwa kushare cake ya Taifa?
 
Wala usiende huko, naongelea hizi Nchi zetu ambazo zimeanza kujitafuta, mfano hapo Morocco ama Algeria, Morocco Extreme poverty ni chini ya Asilimia moja sio matajiri kama Gulf ila ukicompare na Nchi za Africa wapo vizuri, na kwanini Tunisia majirani zao ambao wanafanana kila siku umasikini na Njaa vinaongezeka? Tunisia Nchi ya watu Milioni 12 watu Milioni 1.5 wanakabiliwa na Njaa Even though uchumi wao hautofautiani Sana na Morocco. Ni mfumo gani huu unasabanisha wenye nacho waendelee kupata na wasio nacho waendelee kukosa, Mimi na wewe wote tunaujua Ila tunajiziba Tu macho.

Na hizo Nchi za gulf still mfumo ni mzuri kwenye Kutoa umasikini, na sio rahisi kumanage hizo Rasilimali kama unavyofikiria, nenda kasome "Dutch disease" uone Nchi kubwa kama Netherland kugundua Tu gesi kulivyolitereresha Taifa, it took Mwarabu toka Iraq kwenda Norway kureplicate mifumo ya waarabu na kuziokoa Nchi nyingi za Ulaya na hizo "Resource curse" mpaka Leo sidhani kama kuna MTU katoboa bila kupitia hizo formula za Gulf.
Morocco haijaanza kujitafuta juzi, imepata uhuru mwaka 1956, ina rasimali muhimu kuliko Kenya, Tanzania na Uganda, hata hivyo ina uchumi wa kawaida tu kundi moja na Kenya.

Algeria imepata uhuru mwaka 1962, ina mafuta na gas kama Gulf states(GCC) na pia bado uchumi wake wa kawaida tu.

Ni kituko na kuhusudu Uarabu wako tu kusema Waarabu walienda kuwafundisha wazungu wa Scandinavia uchumi wa mafuta.
 
Achana na hivyo visiwa ambavyo ni vidogo kuliko hata Znz angalia South Africa kuna umasikini wa Kutosha, Botswana Wana Umasikini wa kutisha, Kenya Wana Umasikini wa kutisha, Namibia ndio usiseme, Nchi zote hizo kasoro Kenya ni nchi Tajiri Sana Ila mifumo inaruhusu wanyonywe. Ghana wanajitahidi Ila still nao ni Kenya iliochangamka hao Senegal ndio usiseme, kwanini hizi Nchi machampion wa Demokrasia wote wanashindwa kushare cake ya Taifa?
Botswana na Namibia, zina uchumi sawa na Morocco na Algeria katika GDP per Capita huku zikiwa zimezidiwa rasimali muhimu na hizo nchi.
 
Mfano kama kiongozi ni mla rushwa, fisadi na nepotistic aambiwaje kwa busara?
Ahukumiwe kwa Sheria? Kuna Sheria Kali za Ufisadi, madawa etc kwenye Nchi ambazo tunaambiwa hazina Demokrasia kuliko Nchi za Demokrasia.

Angalia Trump anavyotukanwa Ila kamwe hutaskia anafungwa, same kwa Biden, japo kuna Ushahidi wa Kutosha kumhusu Hunter Biden kasamehewa same kwa wakwe wa sasa wa Trump Ila hutaskia wakiwajibishwa, nenda China Sasa ukafanye same thing uone kama Jela haikuhusu.
 
Naongelea Tanzania
 
Kwa nini Tanzania hakuna Sheria kali za madawa wakati hakuna demokrasia?? Kwa nini Kuna wabunge na watoto wa wakubwa hadi wamekuwa mawaziri wana tuhuma za madawa na hawajawahi kuchukuliwa hatua zozote na hatuna demokrasia?
Nini kinachozuia Hawa wa Tanzania kufungwa na wakati hakuna demokrasia?
 
Back
Top Bottom